Hebu wasome wataalam wa soka hapa chini. Bayern kapigwa 3-1 ugenini. Akishinda 2-0 nyumbani kapita. Bado unabisha??Wafunge 3-0.na siyo 2-0,Asernal walifunga 2-0 wametolewa.
Goli la ugenini ndio litawabeba kwa ushundi huo wa 2-0
Wanatakiwa kushinda 2-0 tu.... na wanaweza
Naomba kuiamsha hii thread...
Hadi sasa Bayern yupo mbele goli 2
Na title ya thread ibadilike iwe maskiniiiii porto
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano