Masikini Bayern Munchen

Kama walichokipata Brazil leo wafaransa kinawakuta
 
Porto walitakiwa kucheza ule mpira walioucheza kule kwao (mpira wa kasi na kutengeneza mashambulizi ya ghafla).
 
Na kule mtaa wa pili Barca kashamtundika mtu 2. Yani leo ni full shangwe.

cc everlenk

Mpwa natazama hizi gemu zote kwa pamoja...

Bayern na Barca ni shiiiidaaaa...

Kesho Madrid akichapwa naye itakuwa burudani...
 
Last edited by a moderator:
Bayern ni kitu kingine kaka unapokuja kwenye soka la Ulaya...

Wanajua nini wanafanya...

Kule Ureno Porto waliwaotea tu Bayern kwa magoli yao yale ya uzembe wa beki kupoteza mpira...

Porto walitakiwa kucheza ule mpira walioucheza kule kwao (mpira wa kasi na kutengeneza mashambulizi ya ghafla).
 
Watu weweeeeeee....piga keleleeeeee...wakomeshe hao madogo

Mkuu #Watu8 leo nilikuwa K/Koo nilikutana na mdau mmoja tukaongea kidogo kama dk 5 hivi kuiongelea hii mechi jamaa alikomaa B. Munich wanatolewa tena leo wanapigwa. Nilikataa kabisa na nilimwambia leo Porto wanapigwa tena chache sana ni 4 na ilibidi tupeane namba za simu sasa kanipigia anakiri. Napenda Porto apite lakini haya niliyajua.
Kibaya tu huwa sipendi kubet kwa kuweka hela.
 
Mpwa natazama hizi gemu zote kwa pamoja...

Bayern na Barca ni shiiiidaaaa...

Kesho Madrid akichapwa naye itakuwa burudani...

Unaongelea Madrid ipi mkuu? Unaweza kuzitofautisha kwa kusema Real au Atletico.
Sasa sijui ni Madrid ipi hapo.
 
haya ya Gadiola ndo Yanga watakayo fanya kwa waarabu...
 
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano


Usimtukane mamba kabla hujavuka mto
 
kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata kibonde,kumbe.........

Mkuu umecheki matokeo hadi sasa?
Acha na mpira! Achana na Pep Gurdiola!
 


Mkuu kama ulikuwep0 kula like kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…