Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Porto walitakiwa kucheza ule mpira walioucheza kule kwao (mpira wa kasi na kutengeneza mashambulizi ya ghafla).
Watu weweeeeeee....piga keleleeeeee...wakomeshe hao madogo
Mpwa natazama hizi gemu zote kwa pamoja...
Bayern na Barca ni shiiiidaaaa...
Kesho Madrid akichapwa naye itakuwa burudani...
Hiyo ni mechi ya kwanza....kuna mechi ya pili
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano
kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata kibonde,kumbe.........
haya ya Gadiola ndo Yanga watakayo fanya kwa waarabu...
Bayern bila robben na ribery hamna kitu pia bastian nae hayupo
Not sending off Neuer is probably the reason why Bayern will make it to the semifinals...
![]()
I'm optimistic bayern anatolewa. Porto watadraw 1-1
Bayern inapita, magoli ya porto yote yalisababishwa na defensive error hakuna goli lililopikwa vizuri...wakienda ujeruman watadefend na hapo ndo watachezea kchapo kzito c'se hawana strong defenders kama za atletico...ngoja robben, ribery ma bastern warudi....ni hayo tu tutakutana kwenye jukwaa after second game