Ngoja nii-quote hii kwa matumizi ya baadaye
mkuu sidhani kama upo sahihi hapa nenda you tube utaonaKaka nipo na wewe asilimia 100...siku ile nilikaa na kujiuliza hivi ile penati na straight red ya Jens Lehman 2006 katika fainali na hii faulo ya Neuer ina tofauti gani sipati jibu...kiukweli mpira unaharibika sn nowdays kisa marefa maana unaona kabisa faulo refa anaminya napata wasiwasi na huu mchezo sana siku hizi!!!
Hahahaha. Mkuu ni muda tu utamaliza utata.
Real Madrid ndio natamani achapwe...
Napenda sana mpira wa Atletico natamani nione akicheza na Juve au Bayern...
Litakuwa bonge la gemu...
Heshima kwako mkuu...haya bhana, ngoja tuendelee kuona, tuombe uzima!! Mi ni mzima wa Afya piaMkuu za mtwara kwanza,
Ok, huko mbali ni wapi??. Nijuavyo Bayern alikotoka ndio mbali ukilinganisha na akikobakiza. Mpaka kufika hapo amecheza mechi 10 za UCL na kabakiza 3 tu abebe ndoo. Namanisha nusu na fainali. Tuweke sawa bhana na kama ni hasira za kufungwa Porto tujue!! .
Maskini mleta hoja... Kifiro mlichopata Leo hutasahau maishani
Jamaa wamegongomelea matanoo
Salamander akija hapa lazima aombe BAN kama Real asiposhinda...heheheh!!!Watu8 unamchokoza Salamander