Masikini Bayern Munchen

Masikini Bayern Munchen

Kaka nipo na wewe asilimia 100...siku ile nilikaa na kujiuliza hivi ile penati na straight red ya Jens Lehman 2006 katika fainali na hii faulo ya Neuer ina tofauti gani sipati jibu...kiukweli mpira unaharibika sn nowdays kisa marefa maana unaona kabisa faulo refa anaminya napata wasiwasi na huu mchezo sana siku hizi!!!
mkuu sidhani kama upo sahihi hapa nenda you tube utaona
 
Mkuu za mtwara kwanza,
Ok, huko mbali ni wapi??. Nijuavyo Bayern alikotoka ndio mbali ukilinganisha na akikobakiza. Mpaka kufika hapo amecheza mechi 10 za UCL na kabakiza 3 tu abebe ndoo. Namanisha nusu na fainali. Tuweke sawa bhana na kama ni hasira za kufungwa Porto tujue!! .
Heshima kwako mkuu...haya bhana, ngoja tuendelee kuona, tuombe uzima!! Mi ni mzima wa Afya pia
 
Back
Top Bottom