- Thread starter
- #41
sijawahi kuvutiwaga na sepetu
kaka kwani uvutiwi na wema.kwanza kwani wewe ni superstar?kama sio jaribu kuingia kwenye bongo movie ndo unaweza kumpata wema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijawahi kuvutiwaga na sepetu
Vijana wa siku hizi wanajisahau sana, msameheeni bure hajui alitendalo.
Nafikiri huyu kijana anamatatizo ya akiri pia,nilishawahi kumsikia akihojiwa anasema elimu kwake sio msingi na hana mpango wowote wa kijiendeleza kwani anauwezo wa ku-make mil 15 kwa mwezi ikiwa ni zaidi ya mshahara wa tu mwenye degree 2.Anafikiri elimu ni pesa tu?
Alimaanisha ndege, ni makosa ya uchapaji tu
..........adi saa nane za usiku jamaa hakutokea kilichofuata ni mashabiki kufanya vurugu na kualibu ukumbi na madansa wa diamond kupelekwa lupango......
Hao madansa wanakaa Arusha au walitoka Dar, na kama walitoka Dar walikuwa naye? Walimwacha wapi wakati nakuja ukumbini na kuishia kushushiwa kupigo?
Kama aliacha kutokea kwa makusudi alifanya makosa makubwa sana, akumbuke kuwa "ukiona kobe juu ya mti uje kapandishwa na mtu....sasa kama anadharua wale wanaosababisha afahamike anaweza kuishia pabaya ilhali umri bado.
madansa aliwatanguliza kwa afu yeye ndo alikuwa kakatiwa tiketi ya ndege.
usharobaro kazi
labda usafiri wa "denge" ulikuwa mgumu kupatikaha! Haahaha!
wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo uko arusha,promota anadai alimlipa diamond advance pamoja na tiketi ya denge pamoja na kugharamia garama za malazi na chakula lakini kapotezea shoo inavosemekana jana watu waliingia ktk shoo lakini adi saa nane za usiku jamaa hakutokea kilichofuata ni mashabiki kufanya vurugu na kualibu ukumbi na madansa wa diamond kupelekwa lupango.swali je huu ndo mwanzo wa kupolomoka kwa diamond kama enzi zile za kina mr nice?nawasilisha.
Kutoka Mbagala mpaka airport kupanda ndege ni maendeleo makubwa.teh teh...
wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo uko arusha,promota anadai alimlipa diamond advance pamoja na tiketi ya denge pamoja na kugharamia garama za malazi na chakula lakini kapotezea shoo inavosemekana jana watu waliingia ktk shoo lakini adi saa nane za usiku jamaa hakutokea kilichofuata ni mashabiki kufanya vurugu na kualibu ukumbi na madansa wa diamond kupelekwa lupango.swali je huu ndo mwanzo wa kupolomoka kwa diamond kama enzi zile za kina mr nice?nawasilisha.
Labda alikuwa na udhuru. Ukute alikula vitu tumbo la kuhara likampata....Ye hajaojiwa kwa nini hakutokea kwenye shoo?