Masikini Diamond huu ndo mwanzo wake wa kufilisika

Masikini Diamond huu ndo mwanzo wake wa kufilisika

Nafikiri huyu kijana anamatatizo ya akiri pia,nilishawahi kumsikia akihojiwa anasema elimu kwake sio msingi na hana mpango wowote wa kijiendeleza kwani anauwezo wa ku-make mil 15 kwa mwezi ikiwa ni zaidi ya mshahara wa tu mwenye degree 2.Anafikiri elimu ni pesa tu?

nafikiri ndo tatizo letu wabongo wakipa viela tu elimu kwao haina umuhimu tena.wakifulia tu ndo wanaanza kulalamika ohoo tunabaniwa na media.
 
..........adi saa nane za usiku jamaa hakutokea kilichofuata ni mashabiki kufanya vurugu na kualibu ukumbi na madansa wa diamond kupelekwa lupango......

Hao madansa wanakaa Arusha au walitoka Dar, na kama walitoka Dar walikuwa naye? Walimwacha wapi wakati nakuja ukumbini na kuishia kushushiwa kupigo?

Kama aliacha kutokea kwa makusudi alifanya makosa makubwa sana, akumbuke kuwa "ukiona kobe juu ya mti uje kapandishwa na mtu....sasa kama anadharua wale wanaosababisha afahamike anaweza kuishia pabaya ilhali umri bado.

madansa aliwatanguliza kwa afu yeye ndo alikuwa kakatiwa tiketi ya ndege.
 
Mkewe vipi, kwanini asimuhimize Mumewe kwenda kazin, au keshajiona kama Manji, hata Manji bado ana struggle, but tusimlaumu sana, maybe alipatwa na kaproblem.
 
kisha jiona staa badala ya kutafuta kwa nguvu zote ya analemaa
Mi namuonea huruma mara100
kwanza huyo demu wake anaangalia paliponoga kwa sasa
zikiisha sijui kama atamuona
 
wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo uko arusha,promota anadai alimlipa diamond advance pamoja na tiketi ya denge pamoja na kugharamia garama za malazi na chakula lakini kapotezea shoo inavosemekana jana watu waliingia ktk shoo lakini adi saa nane za usiku jamaa hakutokea kilichofuata ni mashabiki kufanya vurugu na kualibu ukumbi na madansa wa diamond kupelekwa lupango.swali je huu ndo mwanzo wa kupolomoka kwa diamond kama enzi zile za kina mr nice?nawasilisha.

hii inanikumbusha yale ya yule wa "takeu"........................tembo iliposifiwa yeye akaitia maji kule Mtwara hadi leo katoweka..............sijui kapotelea wapi..................................well, hakuna mapana yasiyokuwa na ncha.......................that is hard cash you can buy anything with it...
 
wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo uko arusha,promota anadai alimlipa diamond advance pamoja na tiketi ya denge pamoja na kugharamia garama za malazi na chakula lakini kapotezea shoo inavosemekana jana watu waliingia ktk shoo lakini adi saa nane za usiku jamaa hakutokea kilichofuata ni mashabiki kufanya vurugu na kualibu ukumbi na madansa wa diamond kupelekwa lupango.swali je huu ndo mwanzo wa kupolomoka kwa diamond kama enzi zile za kina mr nice?nawasilisha.

Kumbe silabi ngumu namna hii
 
Labda alikuwa na udhuru. Ukute alikula vitu tumbo la kuhara likampata....Ye hajaojiwa kwa nini hakutokea kwenye shoo?
 
Labda alikuwa na udhuru. Ukute alikula vitu tumbo la kuhara likampata....Ye hajaojiwa kwa nini hakutokea kwenye shoo?

anadai alichelewa ndege kumbe alikuwa kwenye shoo ya ruge ivyo akaogopa nyimbo zisije pigwa ban ndani ya clouds fm.
 
Back
Top Bottom