Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boda boda wanakipato kikubwa kuliko watumishi wengi sana wa umma.Jibu zuri sana hili kwa mpumbavu kama mleta mada.
Mbona hawana maendeleo ?Boda boda wanakipato kikubwa kuliko watumishi wengi sana wa umma.
Mtu anayeingiza pesa kila siku hata kama ni ndogo hawezi kulingana na mtu anayesubiri after thirty days.
Utafikir poachers, ...wale wahadzabeHali ya mchezaji wa zamani wa yanga kipaji kimekufa?
Nimeikuta mahali wengi wanasema amekuwa boda boda
View attachment 2237246
Kijiwe gani hicho mbona yuko hovyo?Huyu hawezi kuwa maskini wa kiasi hicho, ana nyumba kubwa na nzuri Msamala - Songea, ana maduka pia pale mtaa wa Zanzibar,
Yeye binafs ana gari Harrier, iweje awe boda boda? Labda hapo alikua kijiweni na wenzie tyuuh.
Matumizi baba! Matumizi ndiyo yanayo wamaliza.Mbona hawana maendeleo ?