Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Atajiju.Juma Shaaban next move yupo Azam, na anakula mshahara kama kawaida.
kukonda/ kupungua uzito,,,,,kunenepa/ kuongezeka uzitoAnaonekana amekonda full stress full mawazo. On top of that he look so defeated. Yanga na Simba sio timu za kuziletea jeuri hata kidogo.
# mashabiki wa mpira wa.miguu ni kama malaya. Malaya wanakupenda tu ukiwa unawapa kile wanacho kihitaji kutoka kwako. Uni stop tu kuwapa na wao wana stop kukupenda wanahamia kwa mtu mwingine anae wapa kitu wanacho kitaka...
# Taasisi ni kubwa kuliko mtu.