Masikini Djuma Shabani

Masikini Djuma Shabani

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
983
Reaction score
2,306
Anaonekana amekonda full stress full mawazo. On top of that he look so defeated. Yanga na Simba sio timu za kuziletea jeuri hata kidogo.

Mashabiki wa mpira wa.miguu ni kama malaya. Malaya wanakupenda tu ukiwa unawapa kile wanacho kihitaji kutoka kwako. Uki stop tu kuwapa na wao wana stop kukupenda wanahamia kwa mtu mwingine anae wapa kitu wanacho kitaka...

Taasisi ni kubwa kuliko mtu.
 
Anaonekana amekonda full stress full mawazo. On top of that he look so defeated. Yanga na Simba sio timu za kuziletea jeuri hata kidogo.

# mashabiki wa mpira wa.miguu ni kama malaya. Malaya wanakupenda tu ukiwa unawapa kile wanacho kihitaji kutoka kwako. Uni stop tu kuwapa na wao wana stop kukupenda wanahamia kwa mtu mwingine anae wapa kitu wanacho kitaka...

# Taasisi ni kubwa kuliko mtu.
kukonda/ kupungua uzito,,,,,kunenepa/ kuongezeka uzito
 
Back
Top Bottom