Masikini gari yangu niliyoagiza, uchakavu kodi mpya!

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,329
heshima kwenu wadau.

nimeumia sana baada ya kusikia bajeti mpya ya serikali.

nimejibana sana na kuagiza ki gari changu.

kupunguza gharama nikatafuta isiyozidi miaka 10 na ya bei nayomudu ili kuikwepa kodi ya uchakavu na.kupunguza gharama.

gari inatarajiwa kufika next month july 14.

serikali imepitisha bajeti mpya ambayo kodi ya uchakavu ni no more 10 years bali.ni 8 years..

hapo haraka haraka kama milion na uchafu imeshaongezeka kwenye kodi niliyopanga.

hii ni zaidi ya kurudishana nyuma.

sijui ushuru mpya utaanzwa kutozwa july 1 st au watasubiri subiri
 
Ukithibitisha kuwa umeagiza kabla utaratibu mpya haujatangazwa utahesabiwa kama ilivyo sasa.
 
Hata mwaka jana ilikwama na mwaka huu itakwama tena hakuna kitu kama hicho kwny kodi
 
heshima kwenu wadau.

Nimeumia sana baada ya kusikia bajeti mpya ya serikali.

Nimejibana sana na kuagiza ki gari changu.

Kupunguza gharama nikatafuta isiyozidi miaka 10 na ya bei nayomudu ili kuikwepa kodi ya uchakavu na.kupunguza gharama.

Gari inatarajiwa kufika next month july 14.

Serikali imepitisha bajeti mpya ambayo kodi ya uchakavu ni no more 10 years bali.ni 8 years..

Hapo haraka haraka kama milion na uchafu imeshaongezeka kwenye kodi niliyopanga.

Hii ni zaidi ya kurudishana nyuma.

Sijui ushuru mpya utaanzwa kutozwa july 1 st au watasubiri subiri

daah pole sana mkuu.
Ila kwa mtu yeyote ambaye anahitaji kuagiza gari nje. Tafadhali tuwasiliane. Iwe ngo au private. Its better ukakutana na mtu akakupa maelekezo mazuri na namna ya kuingiza gari na shipping line gani uzitumie.
 
mimi naitaji kuagiza kigari,aina ya suzuki carrytruck g 4wd,hesabu zake ziko hivi kutoka japan mpaka bandari ya DSM ni dolla 2300,bandarini wanachukua kodi kiasi gan?na gari yenyewe ni zamani usipime 2002,ushauri unaitajika
 
Ukithibitisha kuwa umeagiza kabla utaratibu mpya haujatangazwa utahesabiwa kama ilivyo sasa.

There is no way atathibitisha unless apate assessment before 1st July ambayo kama ina arrive 14th july haiwezekan kupatikana so kiukweli hana jinsi ni kujipanga tu kuumia na kodi mpya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nicheck private msg nikupe qoutation

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
There is no way atathibitisha unless apate assessment before 1st July ambayo kama ina arrive 14th july haiwezekan kupatikana so kiukweli hana jinsi ni kujipanga tu kuumia na kodi mpya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Safi sana, muwache kuleta magari yaliokwisha tupwa na wenzetu.

Tena wangefanya miaka 5 tu kwa magari yote. Hii ya miaka minane bado ina walakin.
 
daah pole sana mkuu.
Ila kwa mtu yeyote ambaye anahitaji kuagiza gari nje. Tafadhali tuwasiliane. Iwe ngo au private. Its better ukakutana na mtu akakupa maelekezo mazuri na namna ya kuingiza gari na shipping line gani uzitumie.

hayo maelezo mazuri ndo kila mtu anayataka humu,mambo hayo ya kutafutana private ya nini tena?wafanyabiashara wanakuwa wazi siku zote na ndio maana unaona watu wanatumia fedha nyingi kufanya advertisement ili wapate wateja,sasa wewe biashara kama ni halali mwaga sera hapa ili atakayevutiwa akutafute,ISIJEKUWA MAMBO YA KITOMARI WA ARUSHA NA BATA MZINGA HAPA.
 
Jaman, naomba mniekeweshe vizur, maana nilikua field huko maporin, na gar nilioagiza inafika july 20. Ni ya mwaka 2005
 
Mkuu gari yako unaweza usilipie uchakavu endapo utafanya yafuatayo, kama una original documents umeshatumiwa, mpatie agent wako azi lodge hizo documents na akipewa bei akubali ili apate APAD baada ya hapo assess kabisa ili ibakie kulipia tu maana ukiassess kabla mwezi haujaisha haitakuwa na shida kama hujaelewa niPM nikupigie nikueleweshe vizuri.
Asante
 
Sijaelewa bt shipping ni j3 so document zinaingia wiki hii, je nitawahi?!
 
heshima kwenu wadau.

nimeumia sana baada ya kusikia bajeti mpya ya serikali.

nimejibana sana na kuagiza ki gari changu.

kupunguza gharama nikatafuta isiyozidi miaka 10 na ya bei nayomudu ili kuikwepa kodi ya uchakavu na.kupunguza gharama.

gari inatarajiwa kufika next month july 14.

serikali imepitisha bajeti mpya ambayo kodi ya uchakavu ni no more 10 years bali.ni 8 years..

hapo haraka haraka kama milion na uchafu imeshaongezeka kwenye kodi niliyopanga.

hii ni zaidi ya kurudishana nyuma.

sijui ushuru mpya utaanzwa kutozwa july 1 st au watasubiri subiri

Mkuu ngoja tusubiri majadiliano kuanzia kesho, sijui kama hii kitu itapita tena! Hata mwaka jana ilikwamishwa na wabunge machachari! Ngoja tuwasikilize tena! Ni ujinga mtupu hii serikali!
 
Mkuu gari yako unaweza usilipie uchakavu endapo utafanya yafuatayo, kama una original documents umeshatumiwa, mpatie agent wako azi lodge hizo documents na akipewa bei akubali ili apate APAD baada ya hapo assess kabisa ili ibakie kulipia tu maana ukiassess kabla mwezi haujaisha haitakuwa na shida kama hujaelewa niPM nikupigie nikueleweshe vizuri.
Asante

Nadhani ndio njia pekee alonayo kwa sasa. Nje ya hapo asikilizie maumivu maana Tz walalahoi ndo walipa kodi wakubwa.

Sorry hivi anaweza kuassess bila manifest ya shipping line sio???
 
Ukithibitisha kuwa umeagiza kabla utaratibu mpya haujatangazwa utahesabiwa kama ilivyo sasa.

Mwongo mkubwa wewe ajuza, assessment atafanyia nyumbani kwako ili kuwahi July 1?

We kula kulala mambo ya kuagiza magari na wewe wapi na wapi...
 
Jaman, naomba mniekeweshe vizur, maana nilikua field huko maporin, na gar nilioagiza inafika july 20. Ni ya mwaka 2005

jiandae tu mkuu kulipa 25%ya CIF as kodi ya uchakavu! waliopona ni wale waloagiza magari ya kuanzia 2007 mkuu!
 
heshima kwenu wadau.

nimeumia sana baada ya kusikia bajeti mpya ya serikali.

nimejibana sana na kuagiza ki gari changu.

kupunguza gharama nikatafuta isiyozidi miaka 10 na ya bei nayomudu ili kuikwepa kodi ya uchakavu na.kupunguza gharama.

gari inatarajiwa kufika next month july 14.

serikali imepitisha bajeti mpya ambayo kodi ya uchakavu ni no more 10 years bali.ni 8 years..

hapo haraka haraka kama milion na uchafu imeshaongezeka kwenye kodi niliyopanga.

hii ni zaidi ya kurudishana nyuma.

sijui ushuru mpya utaanzwa kutozwa july 1 st au watasubiri subiri

Siamini kama kweli miaka miwili iliyorudishwa nyuma kama kweli itapunguza ajali au kupunguza KIMSINGI hewa ukaa.
Kwa bahati.mbaya wakati mwingine hii.hutumika kama njia ya kufanya magari yanunuliwe na watu wachache ili pia yasiwe mengi na hatimaye pia kupunguza foleni. Lakini jambo hili lina ukakas kwa kuwa walengwa ni wakaz wa jiji la Dar es Salaam, hapo ni kuwanyima fursa wakazi wa mikoani ambako magari bado ni machache!
 
Back
Top Bottom