Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

Usilolijua kwako ni usiku wa giza nene. Pole.
 
Anasamehewa mtu anayetubu kwa aliowakosea.
 
Acha upumbavu kiongozi,,,,Tena jiheshimu
 
Kuishi umri mrefu inategemea mambo mengi Sana ikiwemo DNA reasons

Lifestyle n.k

Kuhusu kuchukua ardhi ya WATU inawezekana alifanya ibada ya kutubu na kuomba msamaha hivyo sio vizuri ukamuhukumu MTU na kusema alibidi aishi miaka 15-mbele
 
Mbona maisha yake yalimnyookea?
 
Hata mimi naitaka hiyo laana kama aliyopata Hayati Lowassa ili nipande ngazi hadi kufikiwa kuwa PM na chupuchupu kuwa Rais kupitia Chama Cha Mbowe (CCM B). Hiyo KKKT ambayo usipotoa michango siku ukifa unaweza zikwa na housegirl wa mlinzi wa kanisa si la kumtisha mtu.
 
Ni lini kanisa lilishawahi kukutishia maisha
 
Keshocni jumpili nenda kanisani ukatubu mbinguni hatutaenda kwa kuhukumu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…