Masikini mwenzangu, unakubaliana na hii mada?

Raa jipe mwenyewe bab
 
Siwezi kufanana na shida zangu mkuu. Yani unafukuzia deal ya milioni na muonekano wa buku mbili, inawezekana kweli mkuu ?..

Halafu unadhifu na kupenda vitu vizuri sio show off ila kuridhisha nafsi kwa kukupa muonekano unaokuridhisha toka ndani ya nafsi.

Siwezi kufanana na shida zangu. NEVER
 
Never look down on yourself
Do
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…