Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

siku hizi feki akaunti zipo nyingi sana....
 
Huko Facebook kina ommy dimpoz ni wengi sana.

Hivyo huyo ommy anayeumwa Mungu amfanyie wepesi In Shaa Allah
Ni akaunti yake kbisa mkuu
 
Naona kuna wengine hawaamini kama kweli huyu kaka ananwa, ni kweli anaumwa japo am not sure kama ni kansa mana hiyo akaunt iliyotoa taarifa hatuna uhakika kama ni yake, ila kuumwa koo anaumwa na alifanyiwa operation mwanzoni mwa mwaka huu huko south africa, ila hatujui anaendeleaje. Ila kwa maelezo yake alipofanyiwa interview baada ya ile operation ni kwamba ni tatizo lililomuanza muda mrefu alikuwa anapat tabu sana kumeza chakula hata maji kwa muda mrefu na alipewa ushauri wa kwenda kumuona dokta na akiwa kwenye harus ya alikiba huko mombasa na gavana mmoja hv aliemshuhudia akipata shida kumeza wakati wakipata breakfast.
 
Huyu jamaa alikuwa anajiona sana kana kwamba yeye hawezi kupata matatizo.Kwanza kabisa kwenye kifo cha Mkali wa Freestyle,Mangwea alitamka maneno ya dhihaka sana.Pili alipokwazana na Msanii mwenzie alikimbilia kuhusisha Mzazi wa mwenzie katika jamii yetu Tunasema Mama ni Mama vyovyote awavyo.Lakini yote kwa yote tunaomba Allah ampe uponyaji wake.Ugua pole Omary
 
Hakuna mtu anayeumwa kansa alafu akaandika hivyo kwenye page yake.

Nina uhakika 98% hiyo page sio ya Ommy Dimpoz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…