Naona kuna wengine hawaamini kama kweli huyu kaka ananwa, ni kweli anaumwa japo am not sure kama ni kansa mana hiyo akaunt iliyotoa taarifa hatuna uhakika kama ni yake, ila kuumwa koo anaumwa na alifanyiwa operation mwanzoni mwa mwaka huu huko south africa, ila hatujui anaendeleaje. Ila kwa maelezo yake alipofanyiwa interview baada ya ile operation ni kwamba ni tatizo lililomuanza muda mrefu alikuwa anapat tabu sana kumeza chakula hata maji kwa muda mrefu na alipewa ushauri wa kwenda kumuona dokta na akiwa kwenye harus ya alikiba huko mombasa na gavana mmoja hv aliemshuhudia akipata shida kumeza wakati wakipata breakfast.