Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Ko wana page tuu ila hawana acc?,wewe kweli mgeni wa fb.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi waarufu TZ hawatumii fb hizo pages wanazitengeneza watu tu ili kupata followers mara utakutana page inapost sana habari za diamond mara kuna shindano sijui kaweka kwa mashabiki wake anadai atatoa simu ukifuatilia hakuna anayepewa zawadi. Fuatilia utajua na wasanii wengi kila mara wanasema walishajitoa fb sema ndiyo hivyo ndiyo maana pages zinazojifanya ni za vicoba zikiwa na majina ya viongozi bado zinaendelea na watu wanapigwa tu daily....
 
Kuna kipindi hata Fally Ipupa nadhani aliugua hiyo ila sasa hivi naona yuko vema,so na Omary naamini itakuwa hivyohivyo
 
Mkuu pasi na shaka wewe ni medical practictioner!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa joho maanake nn mkuu au jina la mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…