Dogo G
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,052
- 440
- Thread starter
- #101
Hahaa umefeli[emoji23] [emoji23] sura yako imeonekana unataka kufuta picha watu washai save wanasubiri uharibu siku moja wakutafute
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa umefeli[emoji23] [emoji23] sura yako imeonekana unataka kufuta picha watu washai save wanasubiri uharibu siku moja wakutafute
UmefeliKama unataka kuwa salama msifie jiwe na CCM na dreamliner vinginevyo, "pyu pyu"
Nimeingia sioni chochote mkuuFanya hivi Moderator NightCrawler
Watu wengi waarufu TZ hawatumii fb hizo pages wanazitengeneza watu tu ili kupata followers mara utakutana page inapost sana habari za diamond mara kuna shindano sijui kaweka kwa mashabiki wake anadai atatoa simu ukifuatilia hakuna anayepewa zawadi. Fuatilia utajua na wasanii wengi kila mara wanasema walishajitoa fb sema ndiyo hivyo ndiyo maana pages zinazojifanya ni za vicoba zikiwa na majina ya viongozi bado zinaendelea na watu wanapigwa tu daily....
Sio choko bana anazushiwaHuyo si naskia ni choko...so labda kanyonya sana uume ndo mana kapata huo ugonjwa!
Hahaa kwanini fatherJamaa ni njemba balaa halafu linajiita Dogo G !
Mungu mkubwa iseeWatu tunamtukuza shetani tukiwa wazima yakitupata tunamkimbilia Mungu. Hii sio fair kabisaaa.
Mtafute fb jina Ommy dimpoz.utaona tuu ana followers wengiKama Kuna mtu yeyote ana namba yake au ndugu yake tafadhali anifahamishe Pm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pasi na shaka wewe ni medical practictioner!Ikiwezekana aombe kibali maalum kutoka wizara ya afya ili aruhusiwe kutumia mafuta ya bangi (cannabis oil) kwani tafiti mabalimbali zilizofanyika zimethibitisha uwezo wake ktk kutibu kansa especially zikiwa bado zipo katk hatua za awali( initial satages).
Pia hata kwa wagonjwa wenye kansa, mafuta hayo husaidia kupunguza maumivu makali.
References
(*)Donald I Abrams, Manuel Guzman. Cannabis in cancer care. Clinical Pharmacology & Therapeutics 97 (6), 575-586, 2015
(**) Ana Tečić Vuger et al., Cannabis in oncology. Libri oncologici: Croatian journal of oncology 44 (2-3), 51-57, 2016
Hivi hUsababishwa na matumizi ya nn?Mmmhh ndugu. yangu cancer ya Koo achana nayo kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] sura yako imeonekana unataka kufuta picha watu washai save wanasubiri uharibu siku moja wakutafute
Kwa joho maanake nn mkuu au jina la mtu?mbona anaumwa muda mrefu hadi alipelekwa SA kwaajili ya matibabu" na alivyotoka kwenye matibabu " akawa anaishi mombasa kwa JOHO " hata makonda alitaka kumpatia nyumba maalum kwaajili ya special treatment " akamjibu kuwa mombasa yupo kwenye mazingira salama pia" but kwa sasa sijui kama amesharudi dar au la "!!
daaah masikini" ama kweli hujafa hujaumbika" Pole omary nyembo
mmhhhKwa sisi mwenye iman ndogo huyu kapigwa kipapai na WCB
Naludia tena kusema kwa sisi mwenye iman ndogo na potofu
Iyo kansa ya katupiwa na WCB