Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Iko ivi Askari anayemtetea mtu ama watu kadhaa kutunyonya mamilioni ya watu.
Askari ni masikini Ila kwa kulipwa kuwa anafanya kazi kumbe anamdhibiti masikini ili anyonywe na kikundi kisichozidi 200 kuwanyonya watu karibia 70M.
Wote hao tunafanya kazi kwa jasho Ila hao wanakusanya kila wewe ulichovuna mnapatia kisa Cha kutuwala nyie.
Hana kazi nyingine ni nyie jumlisha tu.
Pia Katiba iliyopo haimbani yeye ili atawale vizuri Bali inakubaana wewe ili unyonywe vizuri.
Hata tukitaka sie masikini tutunge Sheria za kumbana huyo anayetunyonya Askari masikini mwenzetu anayeishi nyumba chafu zinazovuja septic tank ama kwa zimejengwa kwa mabanzi anakuja kukubana wewe ili utulie unyonywe vizuri ama tunyonywe wote Mana nayeye ananyonywa.
Hawezi somesha watt wake huko uk USA Norway Kama hao wanaotunyonya wanavyosomesha watt wao.
Yeye akiumwa bima yake haimlindi Sana na akitokea akifa watt wake hawana guarantee ya kula ama kusoma Ila Sasa anavyokupiga kisa unampinga huyo kupe Sasa utadhani yeye hanyonywi.
Checkolo Jobo Ndigua alivyougua Kuna tetesi kuwa kule India alitumia like 40Bn na ilhali wewe ugua hata milioni Mia haupewi na hao jaamaa wachache wanaolala wakiwaza kuwa Ivi tutawalika na kukamuliwa shit mpaka tuwe wakavu Kama kuni iliyokaushwa na Moto.
Ni hayo tafakari tu Kama haupewi v8 ama vx na ujue wewe ni mwenzangu namie.
Karibuni kila mtu atoe funza wake kichwani ni ruksa Mana wasipotoka utapata na ukichaa so ni menthol health ukiwatoa.