baunsa wa kike
Member
- Jul 25, 2014
- 83
- 36
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekanusha uvumi kuhusu kumtunuku Diamond Platnumz Shahada ya Uzamivu katika mahafali yake ya 44 yatakayofanyika mlimani City November 8.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hiyo ningetembea uchi udsm nzima
I just try to imagine et hapa kasimama daidomo anachekelea huku anapewa doctorate ya bure pembeni kidogo kuna ma.laya wema na wenzie kibao kutoka bongolala movie wamemsindikiza wamevaa kama wanaenda beach.....ptuuuuuuuuuuuuuuu
Ningekua nyuma yakoo!ha ha haSiku hiyo ningetembea uchi udsm nzima
Siku hiyo ningetembea uchi udsm nzima
Siku hiyo ningetembea uchi udsm nzima
mimi ninaamini hii ishu inapikwa kwa makusudi kwa sababu gani, how possible inshu ya kiofisi PR wa mondi amtext mtu mkubwa hivyo?? nae akubali kujibu kwa sms, huu ni uongo haiwezekani.
Shangaa na wewe!!!
Mi hata hainiingii akilini kabisa.
Hiyo lugha ni ya kuongelea maswala ya kiofisi kweli....eti na neno coz???!!!
Watu bhana, wanafurahia tu kucheza na akili za wengine!
Tunamkejeli lakini hali zetu ngumu, kila siku tunalala giza, elfu kumi haikai hata siku mbili inatusaidia nini? Mpuuz tu huyo kila siku kusafiri na msafara mkubwa anamaliza tu kodi zetu.
Kama you are matured enough, unakumbuka Tsh 100 ile ya noti nyekundu ilikuwa yakaa siku ngapi kwa matumizi ya kawaida kny average family?We ulitaka elfu kumi ikae siku ngapi?
Kama you are matured enough, unakumbuka Tsh 100 ile ya noti nyekundu ilikuwa yakaa siku ngapi kwa matumizi ya kawaida kny average family?