Masikini Udoctor wa Diamond waota mbawa

Masikini Udoctor wa Diamond waota mbawa

Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekanusha uvumi kuhusu kumtunuku Diamond Platnumz Shahada ya Uzamivu katika mahafali yake ya 44 yatakayofanyika mlimani City November 8.
 
I just try to imagine et hapa kasimama daidomo anachekelea huku anapewa doctorate ya bure pembeni kidogo kuna ma.laya wema na wenzie kibao kutoka bongolala movie wamemsindikiza wamevaa kama wanaenda beach.....ptuuuuuuuuuuuuuuu
 
He he heeeeee wew noma wa kukandia duuu
 
Duuh afadhali maana hicho ndio chuo tegemezi kwa nchi yetu hii
 
mimi ninaamini hii ishu inapikwa kwa makusudi kwa sababu gani, how possible inshu ya kiofisi PR wa mondi amtext mtu mkubwa hivyo?? nae akubali kujibu kwa sms, huu ni uongo haiwezekani.

Shangaa na wewe!!!
Mi hata hainiingii akilini kabisa.
Hiyo lugha ni ya kuongelea maswala ya kiofisi kweli....eti na neno coz???!!!

Watu bhana, wanafurahia tu kucheza na akili za wengine!
 
Shangaa na wewe!!!
Mi hata hainiingii akilini kabisa.
Hiyo lugha ni ya kuongelea maswala ya kiofisi kweli....eti na neno coz???!!!

Watu bhana, wanafurahia tu kucheza na akili za wengine!

Ni kwasababu akili zinachezeka......
Tusingeipa airtime isingetufikisha hapa...
Yaani hiyo Jana sio blog sio watu maarufu wote hio ndio ilikua habari....
Nikashangaa hata hapa jf nyuzi zikabandikwa na watu wakatokwa povu kweli.
 
hivi watanzania ....common, mliamini ile habari?? kwa university of Dar es salaam??

chuo ambacho hata walimu wake waliopata u professa nje ya nchi huwa haiwatambui mpaka wamepita kwenye vipimo vyake??

narudia tena...mliamini??

be serious nyie ndio maana CCM wata watawala mpaka vitukuu vyenu
 
Tunamkejeli lakini hali zetu ngumu, kila siku tunalala giza, elfu kumi haikai hata siku mbili inatusaidia nini? Mpuuz tu huyo kila siku kusafiri na msafara mkubwa anamaliza tu kodi zetu.

We ulitaka elfu kumi ikae siku ngapi?
 
We ulitaka elfu kumi ikae siku ngapi?
Kama you are matured enough, unakumbuka Tsh 100 ile ya noti nyekundu ilikuwa yakaa siku ngapi kwa matumizi ya kawaida kny average family?
 
Kama you are matured enough, unakumbuka Tsh 100 ile ya noti nyekundu ilikuwa yakaa siku ngapi kwa matumizi ya kawaida kny average family?

kwa hiyo kutoweza kupangilia matumizi yako binfsi, kutoweza kuweka elfu kumi wiki nzima dr j.k ndio amesababisha..? if u think this way hutofika mbali ... hata siku moja ...
 
Naona hayawi hayawi
 
Attachments

  • 1415558265847.jpg
    1415558265847.jpg
    41.7 KB · Views: 108
Back
Top Bottom