Masikini UKAWA

Masikini UKAWA

Shekh yahaya Nape.... ndugu siku zako ni mbaya zaja aisee maaana mda c mrefu utakuwa historia.... ahahaha
 
Hivi Nape Nnauye kabisa kiongozi mkubwa wa chama kongwe ndiye kaandika haya?Hivi huu udaku uliandikwa na yeye kabisa kabisa?Kama ndiyo basi hiki chama kimebaki na vichwa debe wakuanzisha udaku uwe mjadala.Nape nchi inapita kwenye wakati mgumu,mliwaita wawaziri mizigo ikapita kapa,mkaja na wimbo kuwa walimu tulipwe madai yetu haraka sana ikapita kapa hadi leo walimu tunapiga miayo tusijue madai yetu tutalipwa lini,badala ya kuja na hoja za msingi tena za kitaifa tuzijadili humu ili maoni yetu ukayawasilishe kwenye kamati kuu eti na wewe unakuja na umbea humu!KWELI HIKI CHAMA MMELANIWA NA DAWA YENU PEKEE KWA SASA NI SERIKALI 3 NA HAZIEPUKIKI!
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

yametimia?
 
You better go back to University..

We live in a stronger world, where the poor walk miles to get food and the rich walk miles to digest food!!

The world where people belive lies more than truth just because Mr. Honorable said it!!

We are in a world where people with power are ready to do anything to make sure their needs are met regardless the safety of those who give them that power!!

This is the world where the calculators can give two answers for the same computation to please someone!!

..... I know we have to pass here so that when the big fall happen, all the statements above will remain in the book of history....

Still I love Tanzania, I hope the sunlight will shine soon ( by Winston Mtanzania)
 
Jifariji hvohvo, Tanzania bara katiba ya ccm itapita kiulain, lakin lakin zanzibar ili ipite lazma mumchinje sita na nape ili ipite
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

Kwa kauli yako ya kuwaambia wananchi wa Tanga kwamba KATIBA HAITALETA MAJI, SHULE, AFYA au BARABARA, unaonaje WANANCHI WAKIIPIGIA KURA YA HAPANA katiba ya CCM kwa sababu katiba siyo suluhu?????!
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

Halafu, idadi kamili ya wajumbe wa ZENJ ni ipi?????
Soma document hii uone CCM mlivyo chama cha MASHETANI kwa 100%
View attachment 189956
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

MIE NILIDHANI UKIWA NA BICHWA KUBWAa UNAKUWA NA AKILI....I WAS WRONG..!!
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

Kwa yale yaliyotokea leo kwenye BMK nimeamini kabisa 100% kwamba hata Kikwete aliingia madarakani 2010 kwa KURA ZA WIZI.

Ndio maana leo baada ya miaka 4 tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu, NEC imeshindwa kuweka mchanganuo wa kura za Urais alizopata Kikwete jimbo kwa jimbo.

Mwenyekiti mstaafu wa NEC Judge Lewis Makame amekufa na deni hilo kwa watanzania. Sijui huko aliko amemueleza nini Mungu wake, maana huyo HACHAKACHULIKI!.
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!
cuf ishakufa mbon a
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube

View attachment 2420687
This is true, Nape ni mwenzetu humu, tupo naye kwa ID yake ya nape mnauye, ila pia yupo yupo!.
Mwenye ngozi ngumu ni hapa JF ni Pascal Mayalla wengine ngozi ya u-bwbw
Naomba kuthibitisha ana ngozi ngumu!.
P
 
Back
Top Bottom