Masikini Vodacom na Airtel mnaenda kubeba mzigo usiowahusu!

Masikini Vodacom na Airtel mnaenda kubeba mzigo usiowahusu!

leonaldo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
3,182
Kwa tulio mdharau Armstem, tunaenda kushuhudia mambo ambayo hatujawahi kuyashudia huko nyuma, ameanza na kampuni ya Airtel na Vodacom yakihusishwa na kushiriki kadhia uvunjaji wa haki za binadam nchini Tanzania.

Armstedam tuache tupumue hata kidogo waombe Mungu kuwa wanachotuhumiwa nacho kiwe sio kwe tofauti na hivyo watalipa fidia mpaka wakimbie

Screenshot_20201030-175036.png
Screenshot_20201030-180410.png
Screenshot_20201030-175202.png
 
Wamezoea kutudharau watanzania kwa umasikini wetu, wakajiona wao ndio miungu watu wakiamini wanaweza kufanya chochote kuisaidia CCM, kwasababu CCM ndio imeshika hatamu nchini, wakasahau sasa hivi dunia ni kijiji, sasa wacha waisome namba vizuri sana.
 
Back
Top Bottom