BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Tatizo ni kwamba hili jambo litaisha tu juu juu na tutasahau kama sio kijisahaulisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamilikiwa na chama lakinVodacom ni wasaliti wakubwa tena wezi kabisa.
Warudishe bundle zangu tuKwa tulio mdharau Armstem, tunaenda kushuhudia mambo ambayo hatujawahi kuyashudia huko nyuma, ameanza na kampuni ya Airtel na Vodacom yakihusishwa na kushiriki kadhia uvunjaji wa haki za binadam nchini Tanzania.
Armstedam tuache tupumue hata kidogo waombe Mungu kuwa wanachotuhumiwa nacho kiwe sio kwe tofauti na hivyo watalipa fidia mpaka wakimbie
View attachment 1616124View attachment 1616127View attachment 1616126
Wachina wao wako straight forward kwa siasa zao. Siasa za chama kimoja.
Ni haki yako kutukana mkuu, watukane tu wala hakuna tatizo.Halafu walivyokosa aibu wananitumia msg eti kifurushi changu kimekwisha. Ninunue kingine. Nikitukana nitakuwa nimekosea?
Hawana unafiki wa kusema tunafuata mfumo wa demokrasia ya vyama vingi wakati mnataka practice mfumo wa chama ki 1Imewasaidia wachina kuwa na maendeleo mkubwa ya haraka na kuwasumbua mataifa yaliyokua yameendelea sana ambayo hayakudhani mchina angeweza kuwa threat kwao
Kweli chenye uchungu ndio dawa 😃😃😃
Unavyoona unadhani tunaweza kuacha unafiki na kufanana nao?Hawana unafiki wa kusema tunafuata mfumo wa demokrasia ya vyama vingi wakati mnataka practice mfumo wa chama ki 1
Je sisi ambao tulilipia huduma ya data ambayo hawakutupatia tukae kimya kwa huo wizi wao?Wapigwe faini ya mabilioni
Tuliwahi kufanana nao kwa uwazi kabisa. Tukaamuwa demokrasia ya vyama vingi, kumbe hatupo tayari, tumekuwa vuguvugu.Unavyoona unadhani tunaweza kuacha unafki na kufanana nao?
kwa hali tuliyo nayo kwa sasa ni vyema kula taratibu na kipofu.Tuliwahi kufanana nao kwa uwazi kabisa. Tukaamuwa demokrasia ya vyama vingi, kumbe hatupo tayari, tumekuwa vuguvugu.