Tafuta hela masikini wewe
Tafuta hela masikini weweNilipata milioni 50 kwenye betting zimepotea zote
Hivi wadau betting inauchawi au maana nilipata million 50 nikaanza Kila siku kuitumia nimekuja kushtuka Nina milioni 1 sasa hivi aisee ni msala sijui majini nishaurini maana Mimi kazi yangu ni betting kusema ukweli Mimi nakuaga na bahati ila sasa matumizi yangu ni ovyo wanawake ndio wangu bia...www.jamiiforums.com
Kupitia betting?
Nimecheka kwani jamaa wapo serious na wanakasirika sana unavyowaambia hivyo.Hahaha masikini watafute hela🤣🤣🤣🤣
Watafute hela masikini haoNimecheka kwani jamaa wapo serious na wanakasirika sana unavyowaambia hivyo.
Tafuta hela maskini wewe😀😀😀😀Nilipata milioni 50 kwenye betting zimepotea zote
Hivi wadau betting inauchawi au maana nilipata million 50 nikaanza Kila siku kuitumia nimekuja kushtuka Nina milioni 1 sasa hivi aisee ni msala sijui majini nishaurini maana Mimi kazi yangu ni betting kusema ukweli Mimi nakuaga na bahati ila sasa matumizi yangu ni ovyo wanawake ndio wangu bia...www.jamiiforums.com
Kupitia betting?
😄🤣😂 Tafuta hela maskini wewe.Una hela ila huna amani
Tafuta hela masikini wewePole sana upo obssesed na chifu god mtoto mdogo mwenye pesa nyingi kiongozi wa chama na serikali.
Tafuta hela masikini weweMtu tajiri hawezi kuandika upuuzi kama huu
Peleka FACEBOOK!
Tafuta hela masikini wewe"Tajiri unachuki Sana na sisi Maskini"
Tafuta hela masikini weweMatajiri hatuna muda wa kukesha mitandaoni. Tafuta hela bwa mdogo.
Huna hela takataka wewe, walionazo wanajulikana forbesKatika hii dunia watu wenye chuki na Matajiri ni masikini mafukara yaani masikini anatamani kuniona Mimi tajiri nikianguka Sasa nataka niwaambie nyie mafukara Mimi sitoanguka milele tena siwataki pm maana mnakuja kuniomba pesa tafuteni hela nyie mafukara msiwe ombaomba Mimi sio baba yenu Mimi ni mtoto mdogo tu lakini pesa nyingi wewe Masikini umekaa hapo umejaza ndevu ila huna pesa utaniambia nini mbwa takataka wewe
Tafuta hela masikini weweHuna hela takataka wewe, walionazo wanajulikana forbes
Ila mitandao haidanganyi kumbe ni Kwa kubet🤣🤣Nilipata milioni 50 kwenye betting zimepotea zote
Hivi wadau betting inauchawi au maana nilipata million 50 nikaanza Kila siku kuitumia nimekuja kushtuka Nina milioni 1 sasa hivi aisee ni msala sijui majini nishaurini maana Mimi kazi yangu ni betting kusema ukweli Mimi nakuaga na bahati ila sasa matumizi yangu ni ovyo wanawake ndio wangu bia...www.jamiiforums.com
Kupitia betting?
Katika hii dunia watu wenye chuki na Matajiri ni masikini mafukara yaani masikini anatamani kuniona Mimi tajiri nikianguka Sasa nataka niwaambie nyie mafukara Mimi sitoanguka milele tena siwataki pm maana mnakuja kuniomba pesa tafuteni hela nyie mafukara msiwe ombaomba Mimi sio baba yenu Mimi ni mtoto mdogo tu lakini pesa nyingi wewe Masikini umekaa hapo umejaza ndevu ila huna pesa utaniambia nini mbwa takataka wewe
Unateseka ukiwa wapi 😅😅😅Tafuta hela masikini wewe