zamani nilikuaga najua matajiri wote ni wachawi kutokana na story nilokua naziskia mpka nilipoanza kujitegemea nikawa na nidhamu ya pesa najitunzia tu akiba wakaanza kusema nadanga maan kwa kazi ya kuuza sambusa siwezi kuishi maisha ninayo yaishi,, nikasema kumbe umaskini Jau eeh ukimzidi mtu kitu lazima atunge story ya kukuchafua