Masikitiko : Arsenal itamaliza nje ya Top 6

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ama kwa hakika ngoma ya watoto haikeshi , timu ya Arsenal sasa ni dhahiri haitaweza tena kuingia kwenye top 4 , na kwa kadiri ya maono yangu itamaliza nje ya 6 bora.

Ni timu ambayo inacheza bila malengo yoyote , wachezaji wake hawaonekani kujali wala kupigania chochote , wala hawana hata aibu wakipoteza game , hawana uchungu wala hawaguswi na chochote , wako kama wanyama wa mwituni .

Nawapa pole sana washabiki wa timu hii , enzi ya Wenger bado ipo , haijaondoka .
 
Uko sahihi...100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlijua utaichambua ki taalamu kumbe ndo kwanza unaleta maneno ya kihuni na ki shabiki... huna point ya msingi apo[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakamata nafasi ya 6 ndio stahiki yao
 
Kwa kipigoo mnachoenda kuchukua kwa chelsea na, man u anavokuja speed of light apaa arsenal hamna namna ni kushuka mpaka nafasi ya sita......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ni ngumu sana kocha kumjudge kwenye msimu wa kwanza.... tupo vizuri mbele/ushambulizi ila beki mh
 
Bora umeona hilo ivi tunatupa nyuma arsenal mbali saana tuna kimbizana na Chelsea then Totenham ,,kwa uwezo wa Mungu Tunamalza top3 Man utd Fo ever[emoji6][emoji28][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…