msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Wewe unafikiri ataacha kukubali wakati tatizo la Arsenal ni mmiliki watimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unafikiri ataacha kukubali wakati tatizo la Arsenal ni mmiliki watimu
Mkuu uliyosema yote ya kweli, hakuna mchezaji yoyote anayejituma mwenye moyo wa kupambana.Ama kwa hakika ngoma ya watoto haikeshi , timu ya Arsenal sasa ni dhahiri haitaweza tena kuingia kwenye top 4 , na kwa kadiri ya maono yangu itamaliza nje ya 6 bora.
Ni timu ambayo inacheza bila malengo yoyote , wachezaji wake hawaonekani kujali wala kupigania chochote , wala hawana hata aibu wakipoteza game , hawana uchungu wala hawaguswi na chochote , wako kama wanyama wa mwituni .
Nawapa pole sana washabiki wa timu hii , enzi ya Wenger bado ipo , haijaondoka .
Dah!Hapa ni kutwaa Europa tuu hamna njia nyingine
Daaah kweli ukiwa mshabiki unakua kama mtumwa. Mkuu unawazia ubingwa Europa na uozo huu wa uchezaji?Hapa ni kutwaa Europa tuu hamna njia nyingine
Mm nabisha ,Chelsea ana Watford na lei , hashind hizo mech zote, arsenal atashinda mech zake zilizobaki , na ataingia top 4Kuna anayebisha ?