Masikitiko : Arsenal itamaliza nje ya Top 6

Masikitiko : Arsenal itamaliza nje ya Top 6

Ama kwa hakika ngoma ya watoto haikeshi , timu ya Arsenal sasa ni dhahiri haitaweza tena kuingia kwenye top 4 , na kwa kadiri ya maono yangu itamaliza nje ya 6 bora.

Ni timu ambayo inacheza bila malengo yoyote , wachezaji wake hawaonekani kujali wala kupigania chochote , wala hawana hata aibu wakipoteza game , hawana uchungu wala hawaguswi na chochote , wako kama wanyama wa mwituni .

Nawapa pole sana washabiki wa timu hii , enzi ya Wenger bado ipo , haijaondoka .
Mkuu uliyosema yote ya kweli, hakuna mchezaji yoyote anayejituma mwenye moyo wa kupambana.
 
Back
Top Bottom