Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nani kakudanganya ?Ligi bado sana
Hakuna aliyendanganya Ila ukiangalia msimamo na trend ya matokeo, timu zote toka nafasi ya 11 haijulikani nani atashuka, ingawa Crystal palace na Swansea ndio mambo magumu zaidiNani kakudanganya ?
Niliwashangaa sana ! Hivi unakujaje kwenye nchi kama Tanzania aisee ?Bongo imewaletea nuksi hakuna timu itakayokuja tena
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu kamari ni dhambi .Rooney kawapelekea gundu na bila kusahau wadhamini wa timu ni wazee wa kusuka Mikeka.
NDIYO MJUE NCHI YENU INA GUNDU, TANGIA IJE BONGO HAIJAWAHI KUWA SALAMA..Everton haishuki, itarejea Kwa nguvu Na Kasi mpya
Likewise to Brazil and Ivory Coast baada ya kutembelea nchi yenye mungu mwenge zikaishia kulala Kwa huzuni. Isaya 50:11NDIYO MJUE NCHI YENU INA GUNDU, TANGIA IJE BONGO HAIJAWAHI KUWA SALAMA..
Hivi ni kweli eeeeee ???NDIYO MJUE NCHI YENU INA GUNDU, TANGIA IJE BONGO HAIJAWAHI KUWA SALAMA..