Masikitiko - Everton Kushuka daraja .

Masikitiko - Everton Kushuka daraja .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili nalisema baada ya kuishuhudia timu hii ya EPL ikiteketezwa kwa magoli 4-1 dhidi ya Southampton .

Hakuna molari tena kwa wachezaji , hawana tofauti na wachezaji wa Abajalo ya Sinza .

Kwaheri Everton .
 
Dah kinachoniuma zaidi kumuona Rooney akipotea kusikojulikana..ni heri angebakia Man u akalinda heshima yake.
 
Fuatilia msimamo Wa league kuanzia namba 11 position wanapishana points kidgo Sana. Ts hard for sure, na predict team nyingi zitafukuza makocha msimu huu, big 6 kuna competition kubwa Sana, ukiruhusu mistake tu watu Wana kuchomeshea kibanda. Cc pep,conte,Wenger,poch,kasoro huyu klopp na mo kidgo wanakua na huruma.
 
Acha kufananisha Abajalo Fc "Mnyama Mkubwa" na vitu vya ajabu ajabu!
 
Ule mkono wa lile lijamaa aliowapa pale airport haukuwaacha salama...
Makmbe ana gundu, akikushika mkono usipoitakasa vyema hilo nuksi lake ni hatari!
Kiufupi mafsim yote yana gundu...
 
nilipokata tamaa zaidi juzi tu yuropa walipoogeshwa 4 na atalanta hawajakaa sawa wanakuja kula 4 na soton....yani hata siku saba hawajamaliza washaogeshwa nane mamaeeeeeee
 
Back
Top Bottom