Nimeumia sana! Wawili kati yao walikuwa pachaHuku ndiko CCM ilikotufikishwa. Sikiliza clip hii, inatia simanzi isiyo kifani
Usikilizagi hata taaharifa za habariHabari za kutunga
Sikilizeni nyieUsikilizagi hata taaharifa za habari
Mchumba inasikitisha sana na kutia uzuniSo sad 😞
Yaani mie hata sijasikiliza kabisa Title imetosha na comment sipendi habari za kunitia uchungu hususani za watotoMchumba inasikitisha sana na kutia uzuni
Yule Shekh Ubwabwa hakukamatwa sasa kaanza Kuchinja vitoto vya Imam wa RuangwaHuku ndiko CCM ilikotufikishwa. Sikiliza clip hii, inatia simanzi isiyo kifani
Hadi likukute ndio utaelewa.... Wali wa msibani ni mtamu ikiwa msiba haupo kwako.....Habari za kutunga