Masikitiko - Timu ya Taifa yawa timu ya Mkoa wa Dar es salaam

nimefurahi nape alipoingia tu, watu wakamshangilia wanataka kumpa mkono. anapendwa na watu. yule mwingine hakujulikana kama yupo uwanjani hadi nape alipoenda kukaa naye...najua atakuwa amejisikia vibaya sana.
Mwakyembe hajawahi kuwa na aibu hata mara 1
 
Wacha Maneno lete matokeo....

Mbona hamlalamiki ccm kuwepo madarakani peke yao bila wapinzani?
 
Kikubwa tuangalie je kuna upendeleo wowote kwenye kuchagua kikosi? Mwingine atakuja na kudai mbona timu imejaa maustadh?
 
Mbona wachezaji wa timu za mkoani waliitwa kikosini! Sema hawajapangwa kwenye kikosi nilisikia wanatajwa Mbaraka Yusup 'Kagera',Kabunda Salum 'Mwadui' na Salimu Mbonde 'Mtibwa' ishu ni kupangwa tu,huwezi toka Kolomije ukaja mjini hapa upangwe kirahisi Samatha akae benchi hata kama kaka ako ndo RC.
 
Nadhani ilikuwa ile miaka kati ya 1994 na 1995
Timu ilikuwa na wachezaji wazuri akina Gasper Lipindo na sekilojo chambua kama sikoei
Sio ile ya kna nteze john kweli
 
Brazil wachezaji wao wa timu ya Taifa wanacheza nje ya nchi, basi hao hawana utaifa kabisa maana Brazil ligi kuu ipo!
 
Wewe mwehu nini? Kila wakitaka watu kujua unadhani CDM!! Ni watanzania ndugu yetu, pole sana kwa kutojitambua.
Kwani wapi nimesema Chadema sio ndugu zetu.!
 
na mwingine atakuja kulalamika team imejaa waislamu tu na mwingine mbona team imejaa wakristo tuu
watanzania akili zetu tunazijua wenyewe aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…