Masikitiko - Timu ya Taifa yawa timu ya Mkoa wa Dar es salaam

Beki mbovu sijapata kuona...Kapombe toka augue hayuko vizuri..combination ya Nyoni na Banda mbovu ....mechi ijayo wacheze Mbonde na Dante walicheza wote Mtibwa..wachezaji waongeze juhudi kama hawataki watoke kwenye timu
 
Kwahiyo hadi timu ya taifa mnataka ijae wa call me J na chattle si ndiyo??haya tutawapisha msijali
 
Mbona kuna waliotoka ulaya Spain na Belgium, morogoro pia wametoa na mtibwa yao.
 
Dah.... Siyo vizuri mwanaume kulalamikalalamika bana [emoji12]
 
Ilichukua ubingwa
Hukumbuki mwaka fulani iliundwa timu ya taifa B nadhani ilikuwa inaitwa KAKAKUONA ikafika nusu fainali kama sio fainali challenge.....mwenye kumbukumbu anirekebishe tafadhali
 
Mmmh huu mwaka, hadi kuna stadium inaitwa Bashite stadium!!
 
Watanzania ni watu wa kulalama tu na ndo maana wanaonekana ni watu wasio na furaha kila pahala. Ulalamishi ndo kuferi kwao na ni sehemu ya maisha yao, liwe jema watalalama, liwe baya watalalama
Tena wanalalamika hata kama hawana utaalam na jambo husika
 
Inawezekana hawana nauli kuwatumia wale wa mikoani,,,#@si bure beki zipi !!!!? Prison beki zake zipo njema sana
 
Ahh ht england ipo kuna mwaka ilkuw liverpool, chelsea na man u..!! Me nadhn co mby maana ht asipokuja samata inamaana foward aje wa mbeya cty? Hahahaaa
 
Ishu ni timu ishinde hata wakitoka timu moja kwani sio watanzania ?kila kitu ni siasa za kipuuzi puuzi tuu...
 
Ndio maana hili timu silipendi.Jana wamewafunga wale makirikiri wanajiona wanajua
 
Hukumbuki mwaka fulani iliundwa timu ya taifa B nadhani ilikuwa inaitwa KAKAKUONA ikafika nusu fainali kama sio fainali challenge.....mwenye kumbukumbu anirekebishe tafadhali
Mkuu ilifika fainali ya chalenge na ilifungwa na uganda goli moja kwa bila...ilikua timu nzuri sana haijawahi kutokea..ilichaguliwa kila mkoa walitoka wachezaji
 
Mbona msimu ukiiasha hao simba na yanga wanaenda mikoani kuchukua wachezaji? Kama mikoani hakuna wachezaji wazuri.angalia hata uingereza wachezaji aliwika tu zile big four team wanawachukua .mbona kocha wa england achukui tu timu za big four? yeye huchukua mpaka timu ndogo ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…