Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.... Siyo vizuri mwanaume kulalamikalalamika bana [emoji12]Sitaki kuamini kwamba wachezaji wazuri nchi hii wamo kwenye timu zile 3 tu za mkoa wa DSM , hii itakuwa ni kashfa kubwa sana na ni kutowatendea haki wachezaji wengine waliojazana kila pembe ya nchi .
Sijaridhishwa na uteuzi wa timu yetu ya Taifa , ni wa kibaguzi na umejaa ubabaishaji mtupu.
Nakulilia Maximo .
Mbona uandishi wako wakimbumbu sana ....Hacha umbumbumbu co kla sehemu ni siasa
Hukumbuki mwaka fulani iliundwa timu ya taifa B nadhani ilikuwa inaitwa KAKAKUONA ikafika nusu fainali kama sio fainali challenge.....mwenye kumbukumbu anirekebishe tafadhali
Bali kwa uwezo wa mchezajiTimu ya taifa haichaguliwi kufuata uwakilishi wa mikoa
Mmmh huu mwaka, hadi kuna stadium inaitwa Bashite stadium!!Tumia akili basi kidogo, wachezaji wazuri wote Tanzania wanachukuliwa na timu hizi tatu, yaani ukiwika tu kidogo kwenye team ya kolomije fc unajikuta upo yanga, simba na Azam. Pili hizi timu zina wachezaji ambao wanauzoefu angalau na international matches, ningeliona bandiko lako la maana kama ungesema badala ya kumweka hajibu wa simba angemweka Alberto baskite wa Call me J fc, ila kama na wewe haujawajua wachezaji wazuri nje ya simba, yanga na azam. Basi hawajafikiu uzuri unaouongelea
Tena wanalalamika hata kama hawana utaalam na jambo husikaWatanzania ni watu wa kulalama tu na ndo maana wanaonekana ni watu wasio na furaha kila pahala. Ulalamishi ndo kuferi kwao na ni sehemu ya maisha yao, liwe jema watalalama, liwe baya watalalama
Mmmh huu mwaka, hadi kuna stadium inaitwa Bashite stadium!!
Inawezekana hawana nauli kuwatumia wale wa mikoani,,,#@si bure beki zipi !!!!? Prison beki zake zipo njema sanaSitaki kuamini kwamba wachezaji wazuri nchi hii wamo kwenye timu zile 3 tu za mkoa wa DSM , hii itakuwa ni kashfa kubwa sana na ni kutowatendea haki wachezaji wengine waliojazana kila pembe ya nchi .
Sijaridhishwa na uteuzi wa timu yetu ya Taifa , ni wa kibaguzi na umejaa ubabaishaji mtupu.
Nakulilia Maximo .
Mkuu ilifika fainali ya chalenge na ilifungwa na uganda goli moja kwa bila...ilikua timu nzuri sana haijawahi kutokea..ilichaguliwa kila mkoa walitoka wachezajiHukumbuki mwaka fulani iliundwa timu ya taifa B nadhani ilikuwa inaitwa KAKAKUONA ikafika nusu fainali kama sio fainali challenge.....mwenye kumbukumbu anirekebishe tafadhali
Mbona msimu ukiiasha hao simba na yanga wanaenda mikoani kuchukua wachezaji? Kama mikoani hakuna wachezaji wazuri.angalia hata uingereza wachezaji aliwika tu zile big four team wanawachukua .mbona kocha wa england achukui tu timu za big four? yeye huchukua mpaka timu ndogo ndogoTumia akili basi kidogo, wachezaji wazuri wote Tanzania wanachukuliwa na timu hizi tatu, yaani ukiwika tu kidogo kwenye team ya kolomije fc unajikuta upo yanga, simba na Azam. Pili hizi timu zina wachezaji ambao wanauzoefu angalau na international matches, ningeliona bandiko lako la maana kama ungesema badala ya kumweka hajibu wa simba angemweka Alberto baskite wa Call me J fc, ila kama na wewe haujawajua wachezaji wazuri nje ya simba, yanga na azam. Basi hawajafikiu uzuri unaouongelea
Umenena Mukulu!Nenda spain, walinyakuwa world cup kwa wachezaji wanaotoka barcelona na Real Madrid. Hapo napo ungesemaje.?