Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

Kuna mstari wa Kimbunga Mchawi anasema "Jose Mtambo yupo chimbo anakula viroba", Jose,Roma na Darassa wakaja kumjibu kupitia ngoma ya Kaa tayari.

Huenda Roma angekuwa rafiki mzuri, mwenzake asingefikia huku! Inawezekana Kimbunga alishaona uraibu wa mshkaji kitambo sana kabla mambo hayajaharibika!
 
Wasanii wa bongo flava wajue wako Tanzania na sio Marekani. Kutaka kuishi kama wasanii wa Amerika kwa kisingizio cha kulinda brand itazidi kuwagharimu mno. Wasioumudu gharama ndo huishia kupata stress na kujiingiza kwenye uraibu wa pombe na madawa. Wajue hata hao wasanii wa Amerika wengi wao hufilisika na kuishia kwenye madeni. Mifano ni mingi.
 
Badala ya kujisikitikia mwenyewe.

Wabongo bana
 
Back
Top Bottom