Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
DuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhNaona si ndo mnaendeleza jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhNaona si ndo mnaendeleza jamii
😹😹😹Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh
Mzee mbona una makasiriko na pombe kama mke mwenza?Pombe huamia kwenye madawa chanzo sio madawa chanzo ni pombe, mlevi yoyote hupenda kupata booster kuboost steam yaan stimulation ziwe juu zaidi ya pale alipo na zipande kwa muda mfupi yaan akigusa tu kalewa ndio hapo anapohama kwenye madawa ndio maana siipendi pombe kabisa kwanza mimi na walevi hatupatani, sio msabato sio mlokole sio mwislamu ila pombe big no
Siipendi pombe sababu kuna walevi wakilewa wanafanya fujo zisizo na kichwa wala mbele wala nyuma wala miguu yaan wanawehuka wanakua matahira wanarukwa na akili na akili zao zinagoma kufanya kazi wanageuka machizi kabisa vichaa na pia pombe zimeua watu wengi ninaowajuaMzee mbona una makasiriko na pombe kama mke mwenza?
Pombe haina uraibu huo... Kunywa unachomudu kunywa kwa kiasi.
BIblia inasema kunywa kwa kiasi....
Acha makasiriko kwa kitu usichokijua.
Kwahiyo alishaga kufa kabisaAta simjui wajomba zangu who is dis?💔 May his soul rest in power
Pombe haina ubaya, inategemea unainywa kwa malengo yapi na kiwango unachokunywa, unaiendesha au inakuendesha?Chanzo cha yote ni Pombe ndio maana mimi naichukia Pombe mpaka siku nazikwa Chini sitokuja kuigusa Pombe
Pombe inaua nina watu nawafahamu pombe imewaua na wengi wanakufa usiku kuelekea asubuhiPombe haina ubaya, inategemea unainywa kwa malengo yapi na kiwango unachokunywa, unaiendesha au inakuendesha?
Na wakifika ukingoni wanatia huruma sana ila acha tu, mlevi akiumwa anatia huruma sana asikwambie mtu kumbe ile huruma anatia ni kwa sababu ya kunywa mimaji na midawa hapendi dawa zikimuimarisha siku 2 ya 3 akiwa fit kabla hajamaliza dozi huyo anaingia tena mtoni kupiga maji, unajiuliza huyu dozi hajamaliza dawa kanywa siku 3 kwanini anarudi tena kwenye tungi? Na akishalewa mitusi mfululizo kesho anaumwa tena anaanza kutia hurumaStarehe za mtu hazijawahi kuwa shida zangu.
POle kwa trauma....Siipendi pombe sababu kuna walevi wakilewa wanafanya fujo zisizo na kichwa wala mbele wala nyuma wala miguu yaan wanawehuka wanakua matahira wanarukwa na akili na akili zao zinagoma kufanya kazi wanageuka machizi kabisa vichaa na pia pombe zimeua watu wengi ninaowajua
Mbaya sana nikisikia kuna mlevi kafa somewhere mimi sishikwi na huzuni hua nasema bora amekufa tupumzike sasa maana alikua anatusumbua tusiokunywa sababu yeye anakunywa
Unywaji Pombe kupita Kiasi ni Hatari kwa Afya yako ya AkiliPombe hizi za kawaida hazina uraibu huo. Pombe za weekend hazina hayo mambo.
Ingawa tunashauriwa kama huwezi acha usiendekeze.
Kuna sababu ya serikali kukataza madawa, bangi, mirungi na kuruhusu pombe....
All in all akili kumkichwa.
Bora wakataze vyote watuachie bangi!POle kwa trauma....
Huyo Jose Mtambo ni urahibu wa madawa. Pombe hizi za kawaida hazina uraibu huo. Pombe za weekend hazina hayo mambo.
Ingawa tunashauriwa kama huwezi acha usiendekeze.
Kuna sababu ya serikali kukataza madawa, bangi, mirungi na kuruhusu pombe....
All in all akili kumkichwa.
Bangi hapana.Bora wakataze vyote watuachie bangi!
Ndiyo yale ya Jay mo,alumchana Langa kuhusu madawa watu wakamjia juu jay moKuna mstari wa Kimbunga Mchawi anasema "Jose Mtambo yupo chimbo anakula viroba", Jose,Roma na Darassa wakaja kumjibu kupitia ngoma ya Kaa tayari.
Huenda Roma angekuwa rafiki mzuri, mwenzake asingefikia huku! Inawezekana Kimbunga alishaona uraibu wa mshkaji kitambo sana kabla mambo hayajaharibika!
Itakua we mgeniAta simjui wajomba zangu who is dis?💔 May his soul rest in power
Kweli ulichosema mzee wa hiphopWasanii wa bongo flava wajue wako Tanzania na sio Marekani. Kutaka kuishi kama wasanii wa Amerika kwa kisingizio cha kulinda brand itazidi kuwagharimu mno. Wasioumudu gharama ndo huishia kupata stress na kujiingiza kwenye uraibu wa pombe na madawa. Wajue hata hao wasanii wa Amerika wengi wao hufilisika na kuishia kwenye madeni. Mifano ni mingi.
My young brother Langa, street mate, walichananaNdiyo yale ya Jay mo,alumchana Langa kuhusu madawa watu wakamjia juu jay mo
Ova