mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 727
- 2,004
Natumaini wikiend iko poa sana twende kwenye mada kuna jamaa yangu mmoja napiga nae mishe yani ni shida kila jambo ukiongea nae au mkashauliana bas lazima lifike kwa mama yake uzuri mama yake baadhi ya biashara namuuziga kwaiyo ananiambiaga nilichokuja kugundua jamaa makuzi ya kulelewa na single mother yamemuathiri sana maana mother wake alizaa na mume wa mtu kwa ushauli ma dada zetu ukiona umezaa na jamaa mkapata mtoto wa kiume alafu mkashindwa kuendelea bora umpe mtoto jamaa amlee ila kama wa kike sawa ishi nae ww