amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 463
Mende [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa mende nini, yanayotokea maliwatoni unayaonaje?
Hata kama wamemjibu vizuri ila ujumbe umefika Kwa wahusikaHa ha ha haaaa, wadau wamemjibu vizuri kweli.
Wewe ishi maisha yako, zile wipes sio za chooni tu hata mikononi na usoni pia, halafu unaonekana huna kazi ya kufanya.
Yaani umekaa mpaka unachunguza muda watu wanaenda kukata magogo?
Eboooo. Kasome kule.