Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Hahahahaa,.kazi tunayo mbonaa..
Unadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.

Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.

Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
 
Unadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.

Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.

Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
Hajui asemalo huyo, kajawa na hisia hasi tuu hana lolote[emoji23] [emoji23]
 
Asante kwa mada hii nzuri. Nakubaliana na wewe kwamba Dada zetu wanakumbwa na matatizo lakini sikubaliani na jinsi mada ilivyowananga kwani kuna mazingira magumu kwa dada na mama zetu kwenye mazingira yanayowazunguka.

Kwenye maeneo mengi ya maofisi vyoo ni vibaya kwakweli, mazingira sio masafi, na hakuna maji ya kutosha. Hapa nazungumzia ofisi za kawaida ambapo ndipo wengi wanafanya kazi.

Unakuta choo kina maji kwenye ndoo na kopo chafuuuu ambapo kutumia tu ni kinyaa,yaani hauwezi kuligusa kwa sababu ukiligusa halafu akashika huko chini kujisafisha basi hilo ni tatizo lingine.

Mfano wa kweli: kuna kanisa moja nasali,vyoo vyake havina maji ya bomba hadi ndani halafu ni vidogo kwahiyo wameweka maji nje ya mlango kwenye mandoo makubwa yale. Kwahiyo mwanamke huyu(sista duu) kama tunavyowasema itabidi achote maji kwenye kopo aingie nalo chooni halafu aweke lile kopo chini ili avue nguo akimaliza achukue kopo ajisafishe halafu aliache hapo na mwingine akija aende akaingize kwenye ndoo na utaratibu uendelee hivyo hivyo.

Kwahiyo kuna mazingira magumu sana kwa dada na mama zetu katika mazingira yanayowazunguka ambayo sio hatari sana kwa sisi wanaume.

Zamani tulikuwa tunajenga majengo bila kujali miundo mbinu ya wenye ulemavu lkn tunajitahidi kutoka huko. Sasa kwenye suala la wanawake inabidi pia lichukuliwe kipaumbele wakati tunatengeneza miundo mbinu kwa kuzingatia hali zao ili wawe na faragha wakati fulani ili kuwaepusha na haya magonjwa ya bacteria na UTI na kuwashwa. Vyoo vyao viwe vingi na vyenye miundo mbinu ya usafi.

Hata wao wanapenda kuwa wasafi, hawapendi kukaa wanawashwa huko chini ila mazingira ndio hayo tumewasukumia na badala ya kuwatetea na kutafuta suluhu tunaanza kuwasema!
Poleni Dada zangu
 
Mfano wa kweli: kuna kanisa moja nasali,vyoo vyake havina maji ya bomba hadi ndani halafu ni vidogo kwahiyo wameweka maji nje ya mlango kwenye mandoo makubwa yale. Kwahiyo mwanamke huyu(sista duu) kama tunavyowasema itabidi achote maji kwenye kopo aingie nalo chooni halafu aweke lile kopo chini ili avue nguo akimaliza achukue kopo ajisafishe halafu aliache hapo na mwingine akija aende akaingize kwenye ndoo na utaratibu uendelee hivyo hivyo. Poleni Dada zangu
Da! Hatari sana. Mkuu hapa mnatakiwa mfanye kitu
 
Ha ha ha haaaa, wadau wamemjibu vizuri kweli.
Wewe ishi maisha yako, zile wipes sio za chooni tu hata mikononi na usoni pia, halafu unaonekana huna kazi ya kufanya.
Yaani umekaa mpaka unachunguza muda watu wanaenda kukata magogo?
Eboooo. Kasome kule.
Kwanza kwa taarifa yake masister duh huwa hawaendi chooni!
 
Back
Top Bottom