Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Inaitwa Baby wipes
 
Bonge la Ujumbe!

Kwa kujazia tu ni kwamba tishu haifai kujisafishia baada ya kwenda haja (sio wanawake tu hata wanaume) hivyo watu watumie maji safi kujitawaza badala ya tishu.

Kumekuwa na wimbi la watu kujitawaza kwa kutumia vitu kama karatasi, tishu na mfano wa hivyo pasipo udhuru wowote (sababu) ya kutotumia maji (na wakati huo maji yapo).

Tabia hiyo mbali na kuleta athari mbaya kwa jamii kama alivyoeleza mleta uzi lakini pia ina madhara mabaya sana kwa afya ya mtu

Tutumie maji safi katika kufanikisha usafi (hususan usafi wa mwili na mavazi)
 
Ni maoni yako siwezi kukupinga.
ukipaka mavi ya kuku nyuma ya kiganja chako,ukafuta na tissue..Nina hakika hutokua na confidence ya kupalamba..lakini ukiosha kwa maji hutokua na shaka kupalamba..kwa kuwa maji husafisha kweli
 
Wengine unaanza kujifuta na tishu kisha maji yanafuatia hatushiki vinyesi.[QUOTE ]

Duh!

 
Ebwana kweli kuna mmoja nimetoka kumnyonya muda huu daaaaah nimekula sana mbolea [emoji83] [emoji83] [emoji48] [emoji48] [emoji276] [emoji276]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]
Mkuu hii hatare hadi mtaroni unafika
 
Kiukweli maji ya public toilet sichambi nayo kuna siku nilikuta kohozi Kwenye maji bora Hizo wipes jamani. Au km ni haja Kubwa ninunue maji ya chupa. Lakini haja ndogo utanisamehe mtoa Mada.
Maji ya Chupa unachambaje na Kuflash choo??
 
haja kubwa si unaiacha nyumbani asubuhi au?sasa kwenda kunyakunya ofisini au majengoni haja inatoka wapi au ndo wale wale kila akikata kona ni kutafuna tafuna kama nguruwe
Inapotokea dharula.....
 
Sio hamshiki tu mi najua wadada hawakati magogo kabisa
 
ukipaka mavi ya kuku nyuma ya kiganja chako,ukafuta na tissue..Nina hakika hutokua na confidence ya kupalamba..lakini ukiosha kwa maji hutokua na shaka kupalamba..kwa kuwa maji husafisha kweli
Upatikanaji na hayo maji na usalama wake ndio unachangia wadada kutumia wipes au Tissue.
Sijakataa utumiaji wa maji, Ila pale inapobidi tissue na wipes zinatumika.
Kumbuka hii desturi ya kutumia maji si kwa Mataifa yote ndio maana wakaweza kutengeneza wipes za kutawazia.
 
Sure, sidhani kama zinatumika kwa matumizi aliyowaza. Wenyewe nafikiri mmenielewa.
 
Umemaliza Yote. Nina zawadi yako ya krsmas
 
Umemaliza Yote. Nina zawadi yako ya krsmas
 
Choo nitaflash na maji yao ya kwenye ndoo,ungejiongeza kidogo sio kila swali kuuliza
Wewe siumesema hugusi vyombo vyao wala ndoo zao, Sasa hio bottle unayonunua na hako kamdomo kake si kanatoa maji machache mbonà naona uchafu tu
 
Hahaa haaa haaa.masistadu ni kama wazungu nao hawachambi na maji sio?
 
Waache tu watembee na vinyesi, wanawake wakipewa nafasi wanaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…