Masjid Rawadha na Soko Mjinga Kisutu

Masjid Rawadha na Soko Mjinga Kisutu

we mzee hunaga hoja hadi huwa unatia huruma.
Chapwa...
Si kweli.

Mimi nikiona jambo halina maana huwa sihangaiki.

Napita wima.
Nashika hamsini zangu.

Huo ndiyo huwa mwisho.
Nakushauri na wewe ufanye hivyo.

Ukipinda mgongo ukanyanyua kalamu ukachovya kidawatini kuandika basi unalo jambo.

Kipo kinachokuumiza.
Hicho ndicho kinachokunyima stahamala.
 
Back
Top Bottom