Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Nov 1, 2021 Thread starter #21 chapwa24 said: we mzee hunaga hoja hadi huwa unatia huruma. Click to expand... Chapwa... Si kweli. Mimi nikiona jambo halina maana huwa sihangaiki. Napita wima. Nashika hamsini zangu. Huo ndiyo huwa mwisho. Nakushauri na wewe ufanye hivyo. Ukipinda mgongo ukanyanyua kalamu ukachovya kidawatini kuandika basi unalo jambo. Kipo kinachokuumiza. Hicho ndicho kinachokunyima stahamala.
chapwa24 said: we mzee hunaga hoja hadi huwa unatia huruma. Click to expand... Chapwa... Si kweli. Mimi nikiona jambo halina maana huwa sihangaiki. Napita wima. Nashika hamsini zangu. Huo ndiyo huwa mwisho. Nakushauri na wewe ufanye hivyo. Ukipinda mgongo ukanyanyua kalamu ukachovya kidawatini kuandika basi unalo jambo. Kipo kinachokuumiza. Hicho ndicho kinachokunyima stahamala.