Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Huo ni mchongo wa Dr Fadhili kupata wateja we huoni alivyo tengeneza scene vizuri?

Inawezekana kabisa.

Manake hizo picha ni kama wamepozi kabisa.

Halafu, nani anaendaga kwa tabibu na makamera ya picha? Mgonjwa gani huyo?

Na hivi, hivi huyo mdingi ana mtoto mmoja tu?
 
Yani nilipo fungua tangazo hili nilicheka sana yani huyu Fadhili Haule ni bure kabisa ameshindwa kumtumia Diamond anamtumia Baba yake kufanya matangazo...
kumtumia diamond ni ghali, kumtumia mzee Abdul ni cheaper, so ameminimize cost
 
Mkuu hata huku mtaani mbona wazaz wanapuyanga sana katka kutulea lakn we still love n respect them mana kupitia wao ndo tupo duniani leo,ikiwezekana bs atumie mwezi huu mtukufu kufanya toba na kumsamehe mzee wake, lakn mkuu kweli unaona iko sawa diamond kutomsamehe mzee wake?
 
Nilishawahi kumuona live bado ana nguvu hajafikia umri wa kukaa chini Na kutunzwa ni ugonjwa tu kwasababu hata tembea yake ya tabu,mi ningemshauri D amtibie afanye Kama anatoa msaada kwa Mtanzania yeyote mwenye shida pengine ampeleke hata nje ya nchi pengine akipona akipata nguvu ya kujitafutia ataacha kulialia.
hamna kitu, huyu anapenda ubwete tu
 
Baba ni baba tu hata kama ni shetani...Diamond Msaidie baba yako

Ugomvi wa baba yako na mama yako haukuhusu

Sahau yaliyopita...Mjali mzazi wako....

Wewe zi zao la damu yake...huna baba mwingine zaidi ya huyo
mzazi ndio ana wajibu wa kumtunza mtoto, mtoto kumjua mzazi ni msaada tu
 
Wewe nae ndo wale wale. Kusoma hujui hata picha huoni? Kama mond haja wahi sema ana tatizo na baba, bali tatizo ni mama mbona hamsaidii baba yake? Si angeacha ugomvi wa wazazi bila yeye kuonyesha wazi anambagua baba yake kwa ajili ya maneno aliyoaambiwa na mama yake? Mwambieni ukweli, kumtetea ndo kumpa kichwa. Yeye sio wa kwanza kutelekezwa. Hata wewe nahisi humjui dingi ndo mana naona unatetea sana.
sasa mondi afanyeje mtu ambaye alimfukuza, au leo kabadilika, halafu huyu mzee ana ndugu wengi tu na watoto
 
Kikubwa ni kujifunza kusamehe mzee alikosa yamepita wanatakiwa kuangalia maisha mpya nataka kujua akifa huyo mzee kwenye msiba ataenda au ? Naisi diamond utoto pia unamsumbua au niseme ulimbukeni afande sele alikanwa na mama yke lkn alisamehe.
kwani msibani si watu wengi huwa wanaenda ? hiyo sio big deal
 
Hiyo ni sumu aliyomwagiwa na mama alipokuwa mtoto. Ni chuki kati ya baba na mama aliyomezeshwa Diamond. Sumu kali ya maneno. Hata Tiffah akirudi Uganda na kukulia huko atamchukia Diamond. Kama kweli yule ni baba yake Diamond, namshauri afumbe macho amtumie hela hata kwa mpesa apate matibabu.
 
kwani msibani si watu wengi huwa wanaenda ? hiyo sio big deal
Kwako lazima isiwe big deal ila kwake lazima itakuwa big deal maana mzee itamsumbua maisha yke yote kwamba mzee alikufa kwa kukosa hela ya matibabu ambayo yalikuwa ndani ya uwezo wake
 
Omba Mungu awaweke mshuhudie kifo cha diamond siku moja..!

Ni mjinga sana! Angesamehe yaishe ila nadhani anajua kuwa anazo dhambi nyingi kuliko hii ya kuto msamehe baba yake ndiyo maana haoni umhimu.

Bila shahawa za huyu mzee uplatnum angeupata wapi? Anajifanya hajui mchango wa huyu mzee kwenye maisha yake! Shahawa zenyewe ni mchango kulijo kitu chochote kile klilicho changia uwepo wa diamond na jinsi alivyo..!
Hqhaa kwa hiyo mkuu shahawa ziheshimiwe!!!!
 
Nashangaa mnamwita mzee wakati anaonekana kijana tu!
 
Kwa yeyote mdadisi, ni rahisi kugundua kwamba huyo baba wa diamond aliandaliwa kwamba achukuliwe picha huku akionekana kusaidiwa na wahudumu wa hapo hospital, ili kijana apakaziwe na magazeti ya udaku.
Alafu... iweje mzee aende kwenye matibabu huku akiwa amejiandaa na wapiga picha?
Alafu.... kama mzee alikwenda kupata matibabu, kwanini aliwaita makanjanja wa magazeti ya udaku ili wakipake kwa mwanae?
Agghhhh....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Hahahah ...mapozi ya still picture umeyashtukia kumbe
 
Mleta mada... mwachieni Diamond mambo ya familia yake... nina uhakika kama Diamond angekua anauza chupa za maplastiki huyu baba wala asingemtaja kama mwanawe

Wacha jamaa avune alichopanda, kumpost post humu ni kumpa kiki tu...
 
Kabisa mkuu.
Hapo huyo tabibu anajitangaza na udaku wanauza

Shigongo mpuuzi kweli! Anamtumia jamaa kuuza gazeti! Tatibu nae kapata tangazo....
Huyo mdingi nae mpuuzi! Mwanaume analialia kwenye media!
 
Back
Top Bottom