elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
hicho kituo kinajitangaza kwa style hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivo kumbeNakumbuka Qchief nae alikuwa hana mahusiano mazuri na baba kwa sbb kama hizo za kutelekezwa lkn alijiongeza wakayamaliza wakawa washkaji wazuri huyo huyo baba yake ndio akaja kumuokoa na uteja uliotukuka
Kama Mungu tunamkosea anatusamehe 7*70 naye ndiye aliyetuumba. Inakuwaje huyu Mondi kuona kosa alilofanya baba yake ni kubwa kiasi kwamba hawezi kumsamehe? Kama mtoto alipaswa kutambua hawezi pata baba mwingine zaidi ya huyo. Na asisubiri afe ndo aende kwenye msiba kwa mbwembwe. Namkubali Mondi ila kwa hili hapana.
Huyu mzee bangi +viroba zinamsumbua sana...Sperm donors mjifunze
Akanana!Abeeeeeeeeeee
Akanana!
Teh Teh[Akanana Kalilekona...... Huwa nawasikia wanasema hivyo wale wwa kule kwenu Bukoba..... hahhahahhaha
Teh Teh
Kaile kona!
Washeleilwe?
Teh Teh thats your home work!Ohhhhhhh...... Hapo nimesahau kidogo..... Nikumbushe rafiki
Teh Teh thats your home work!
Haahaaaaaa, baba mbona ana hata singo sasa ?Raha kweli kweli......Like father like son.Baba Msanii...Mtoto Msanii hapo bilabila.
Haya mafundisho ya mtume sawa, lakini mtume alikuwa anamaanisha baba aliyetimza wajibu wake wa kumlea mwanae, hakumainisha baba ni baba, kufunga swaumu ni moja ya nguzo za uislam, haisiani na hiyo ya baba diamondwatu wanazini, watuwana toa roho za watu, wanafanya mapenz kinyume na maumbile, wanamtukana Mungu, wanaroga yan wachawi, wanaua maelfu ya vichanga hospitalin, wanadanganya,wanasengenya,wanatukana wazaz wao,wanatupa watoto wao, wanauza miili yao na mazambi mengine mengi mengi lakn wana misamaha chungu nzima toka kwa Allah.
Lakini diamondi anaona kama baba katenda zambi kubwa sana hapa duniani isiyosameheka kabisa.
kwa kweli diamond kama kafunga mwezi mtukufu wa ramadhan bs anataka kujaribu kumshika shalubu mwenyezi Mungu.
Mtume mohammad s.w katoa hadithi na mafundisho mengi sana kuonesha wazi kuwa wazazi wetu ndo njia yetu ya kwenda peponi na hata kuraani imeongea yote hayo. sasa nyie mnaomsifia diamond katka hili kiukweli mnakosea na mnafanya ajihc yupo sahihi kumbe anapotoka sana, haya.