Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Huo ni mchongo wa Dr Fadhili kupata wateja we huoni alivyo tengeneza scene vizuri?

Inawezekana kabisa.

Manake hizo picha ni kama wamepozi kabisa.

Halafu, nani anaendaga kwa tabibu na makamera ya picha? Mgonjwa gani huyo?

Na hivi, hivi huyo mdingi ana mtoto mmoja tu?
 
Yani nilipo fungua tangazo hili nilicheka sana yani huyu Fadhili Haule ni bure kabisa ameshindwa kumtumia Diamond anamtumia Baba yake kufanya matangazo...
kumtumia diamond ni ghali, kumtumia mzee Abdul ni cheaper, so ameminimize cost
 
Mkuu hata huku mtaani mbona wazaz wanapuyanga sana katka kutulea lakn we still love n respect them mana kupitia wao ndo tupo duniani leo,ikiwezekana bs atumie mwezi huu mtukufu kufanya toba na kumsamehe mzee wake, lakn mkuu kweli unaona iko sawa diamond kutomsamehe mzee wake?
 
hamna kitu, huyu anapenda ubwete tu
 
Baba ni baba tu hata kama ni shetani...Diamond Msaidie baba yako

Ugomvi wa baba yako na mama yako haukuhusu

Sahau yaliyopita...Mjali mzazi wako....

Wewe zi zao la damu yake...huna baba mwingine zaidi ya huyo
mzazi ndio ana wajibu wa kumtunza mtoto, mtoto kumjua mzazi ni msaada tu
 
sasa mondi afanyeje mtu ambaye alimfukuza, au leo kabadilika, halafu huyu mzee ana ndugu wengi tu na watoto
 
Kikubwa ni kujifunza kusamehe mzee alikosa yamepita wanatakiwa kuangalia maisha mpya nataka kujua akifa huyo mzee kwenye msiba ataenda au ? Naisi diamond utoto pia unamsumbua au niseme ulimbukeni afande sele alikanwa na mama yke lkn alisamehe.
kwani msibani si watu wengi huwa wanaenda ? hiyo sio big deal
 
Hiyo ni sumu aliyomwagiwa na mama alipokuwa mtoto. Ni chuki kati ya baba na mama aliyomezeshwa Diamond. Sumu kali ya maneno. Hata Tiffah akirudi Uganda na kukulia huko atamchukia Diamond. Kama kweli yule ni baba yake Diamond, namshauri afumbe macho amtumie hela hata kwa mpesa apate matibabu.
 
kwani msibani si watu wengi huwa wanaenda ? hiyo sio big deal
Kwako lazima isiwe big deal ila kwake lazima itakuwa big deal maana mzee itamsumbua maisha yke yote kwamba mzee alikufa kwa kukosa hela ya matibabu ambayo yalikuwa ndani ya uwezo wake
 
Hqhaa kwa hiyo mkuu shahawa ziheshimiwe!!!!
 
Nashangaa mnamwita mzee wakati anaonekana kijana tu!
 
Hahahah ...mapozi ya still picture umeyashtukia kumbe
 
Diamond msaidie mzazi wako angali yu hai
 
Mleta mada... mwachieni Diamond mambo ya familia yake... nina uhakika kama Diamond angekua anauza chupa za maplastiki huyu baba wala asingemtaja kama mwanawe

Wacha jamaa avune alichopanda, kumpost post humu ni kumpa kiki tu...
 
Kabisa mkuu.
Hapo huyo tabibu anajitangaza na udaku wanauza

Shigongo mpuuzi kweli! Anamtumia jamaa kuuza gazeti! Tatibu nae kapata tangazo....
Huyo mdingi nae mpuuzi! Mwanaume analialia kwenye media!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…