frem zero
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 595
- 875
Hakuna kitu kama hicho ww1day yec ipo cku 2 ataona hmhim wa baba so 2wapende wazaz we2 ata kama wame2kosea"mwenyez mungu anasamee!!!! mangap 2namkosea????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho ww1day yec ipo cku 2 ataona hmhim wa baba so 2wapende wazaz we2 ata kama wame2kosea"mwenyez mungu anasamee!!!! mangap 2namkosea????
Diamond anakosea wapi?Diamond anakosea sana. Yaani anahangaika na Zari halafu anamuacha babake anateseka
Kweli watanzania tunajua kutengeneza maneno....Kama Mungu tunamkosea anatusamehe 7*70 naye ndiye aliyetuumba. Inakuwaje huyu Mondi kuona kosa alilofanya baba yake ni kubwa kiasi kwamba hawezi kumsamehe? Kama mtoto alipaswa kutambua hawezi pata baba mwingine zaidi ya huyo. Na asisubiri afe ndo aende kwenye msiba kwa mbwembwe. Namkubali Mondi ila kwa hili hapana.
Kwani baba amemkisea nini Diamond?1day yec ipo cku 2 ataona hmhim wa baba so 2wapende wazaz we2 ata kama wame2kosea"mwenyez mungu anasamee!!!! mangap 2namkosea????
Hata kama He is his father for God's sake!! Waswahili ni watu wa ajabu sana si ajabu kaambiwa habari ya nyota.... Bloody people!!Kwa yeyote mdadisi, ni rahisi kugundua kwamba huyo baba wa diamond aliandaliwa kwamba achukuliwe picha huku akionekana kusaidiwa na wahudumu wa hapo hospital, ili kijana apakaziwe na magazeti ya udaku.
Alafu... iweje mzee aende kwenye matibabu huku akiwa amejiandaa na wapiga picha?
Alafu.... kama mzee alikwenda kupata matibabu, kwanini aliwaita makanjanja wa magazeti ya udaku ili wakipake kwa mwanae?
Agghhhh....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Wewe nae ndo wale wale. Kusoma hujui hata picha huoni? Kama mond haja wahi sema ana tatizo na baba, bali tatizo ni mama mbona hamsaidii baba yake? Si angeacha ugomvi wa wazazi bila yeye kuonyesha wazi anambagua baba yake kwa ajili ya maneno aliyoaambiwa na mama yake? Mwambieni ukweli, kumtetea ndo kumpa kichwa. Yeye sio wa kwanza kutelekezwa. Hata wewe nahisi humjui dingi ndo mana naona unatetea sana.Kweli watanzania tunajua kutengeneza maneno....
Sasa hapo ukiangalia au kwa kufikiria kwako, unataka kutuaminisha kwamba kijana anampa adhabu baba yake?
Na kimsingi Mondi hajawahi kukisana na baba yake, zaidi mama yake ndie alie kosana na baba yake. Na ukimuangalia kijana ni kama haja hitaji kuingikia chuki iliopo kati ya baba na mama yake, zaidi ya kwamba yupo karibu na mama yake kwakua ndie alie mlea na kumkuza hata kufikia sisi leo kumjua.
Sana nikiangalia magazeti ya udaku ndio yamekua mbele kwa kuchokonoa na kuchonganisha mahusiano ya Mondi na baba yake ili wauze magazeti tu. Alafu mzee nae anakosa hekima kwa kurubunika kwa vijipesa na kumchafua kijana wake kisa, Mondi ni superstar
Kwani uyu mzee mtoto wake mi diamond tu. Kwann wasiandike baba wa Queen Dareen azidiwa. Wababa wanajitenga sana na watoto n Mungu hua wa ajabu watoto wa kutengwa hua wanafanikiwa mno. Hlf baadae wana play kua ni victim.
Ugua pole mzee lkn huo ni uchonganishi wa kwenda na waandshi wa habari hosptalini km sio kutaka kumchafulia Diamond ni nn.
Hilo ni Tangazo la mganga kienyeji. Hapo Mzee keshachukua chake.Hivi huyo anaumwa kweli au anatafuta kiki tu?
Diamond anakosea sana. Yaani anahangaika na Zari halafu anamuacha babake anateseka
Basi sawaWewe nae ndo wale wale. Kusoma hujui hata picha huoni? Kama mond haja wahi sema ana tatizo na baba, bali tatizo ni mama mbona hamsaidii baba yake? Si angeacha ugomvi wa wazazi bila yeye kuonyesha wazi anambagua baba yake kwa ajili ya maneno aliyoaambiwa na mama yake? Mwambieni ukweli, kumtetea ndo kumpa kichwa. Yeye sio wa kwanza kutelekezwa. Hata wewe nahisi humjui dingi ndo mana naona unatetea sana.
Kama Mungu tunamkosea anatusamehe 7*70 naye ndiye aliyetuumba. Inakuwaje huyu Mondi kuona kosa alilofanya baba yake ni kubwa kiasi kwamba hawezi kumsamehe? Kama mtoto alipaswa kutambua hawezi pata baba mwingine zaidi ya huyo. Na asisubiri afe ndo aende kwenye msiba kwa mbwembwe. Namkubali Mondi ila kwa hili hapana.
Mkuu huyo ni Mganga wa tiba asili. Hiyo stethoscope aliyovaa ni mbwembwe tu.Hivi hapa ni hospital au ni scene ya bongo muvi au ni washkaji wanapiga story? View attachment 359191
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu huyo ni Mganga wa tiba asili. Hiyo stethoscope aliyovaa ni mbwembwe tu.
Hicho kipimo chake cha QMA anasema kinasoma magonjwa yote mwilini......hahhaha
Huyo mzee asingemtelekeza daimond, huyo daimond asingekuwa staa.Kwahiyo aliita waandishi wa habari wakati anaenda zahanati....? Muache avune alichopanda, diamond hasingekua star leo hii huyo mzee angemkubali ?
Muache asote tu