Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Diamond anakosea sana. Yaani anahangaika na Zari halafu anamuacha babake anateseka
Diamond anakosea wapi?
Ebu tuanzie hapo kwanza..[emoji101]
Na unaposema kijana ana hangaika na Zari ambae ndio mama baby wake Tifa.
Hapo nini unamaanisha[emoji15]
 
Hata kama mzazi alikutesa kwa namna gani hupaswi kulipiza ubaya kwa ubaya pia ukumbuke Hugo ndiye alikuleta duniani,ni heli ya Hugo diamond akamsaidia baba yake japo Paso na kuonana nae lkn mzee akajua msaada umetoka kwa mwanangu lkn anachokifanya hakipaswi kushabikiwa Leo huyo mzee ktk uhai wake ataona sasa lkn kesho ktk mauti yake yeye(mtoto)atakapokuja kukumbuka ayafanyayo Leo atatamani mzee Huyo aamke japo nusu SAA amsaidie na amshukuru japo apate radhi zake naamini c jambo jema uende kwenye hbdy umwage fedha na bado wanaadam wengine wakiteseka akiwepo mzazi wako hii ni dunia starehe chache ndio zinatupumbaza tufikie hapa,M/Mungu ni kwenye kujua zaidi.
 
Kweli watanzania tunajua kutengeneza maneno....
Sasa hapo ukiangalia au kwa kufikiria kwako, unataka kutuaminisha kwamba kijana anampa adhabu baba yake?
Na kimsingi Mondi hajawahi kukisana na baba yake, zaidi mama yake ndie alie kosana na baba yake. Na ukimuangalia kijana ni kama haja hitaji kuingikia chuki iliopo kati ya baba na mama yake, zaidi ya kwamba yupo karibu na mama yake kwakua ndie alie mlea na kumkuza hata kufikia sisi leo kumjua.
Sana nikiangalia magazeti ya udaku ndio yamekua mbele kwa kuchokonoa na kuchonganisha mahusiano ya Mondi na baba yake ili wauze magazeti tu. Alafu mzee nae anakosa hekima kwa kurubunika kwa vijipesa na kumchafua kijana wake kisa, Mondi ni superstar
 
1day yec ipo cku 2 ataona hmhim wa baba so 2wapende wazaz we2 ata kama wame2kosea"mwenyez mungu anasamee!!!! mangap 2namkosea????
Kwani baba amemkisea nini Diamond?
Nimekua nikijiuliza swali hili kila mara na sipati jibu la kwanini tunakua tunasisitiza kijana amsamehe babayake ilhali hatujui nini baba alimkosea mwanae
 
Hata kama He is his father for God's sake!! Waswahili ni watu wa ajabu sana si ajabu kaambiwa habari ya nyota.... Bloody people!!
 
Wewe nae ndo wale wale. Kusoma hujui hata picha huoni? Kama mond haja wahi sema ana tatizo na baba, bali tatizo ni mama mbona hamsaidii baba yake? Si angeacha ugomvi wa wazazi bila yeye kuonyesha wazi anambagua baba yake kwa ajili ya maneno aliyoaambiwa na mama yake? Mwambieni ukweli, kumtetea ndo kumpa kichwa. Yeye sio wa kwanza kutelekezwa. Hata wewe nahisi humjui dingi ndo mana naona unatetea sana.
 
Siombei yatokee,Ila namuuliza Diamond ikitokea huyu mzee mungu amemchukua atakwenda msibani kuzika au kusherehekea na je ana uwezo wa kutafuta baba mwingine zaidi ya huyo duniani?
 
Umaskini ni mbaya sana hata kama ingekuwa vipi daimond ilibidi msaidie baba yake.
Baba ni baba tu ilibidi amuheshimu.
 

Mkuuu mie Nahis sio baba yake mzazi diamond kwa sbb Kuna tetesi baba yake yuko mtoambu arusha . Ila sidhan kama ni kweli .
 
Hivi huyo anaumwa kweli au anatafuta kiki tu?
Hilo ni Tangazo la mganga kienyeji. Hapo Mzee keshachukua chake.

Yaani mgonjwa azidiwe Magomeni halafu tiba akaipate Mbezi beach Afrikana kwa mganga wa kienyeji!!!

Huyo jamaa yupo hapa Mbezi huu mwaka wa tatu anapiga sana fedha kwa kipimo chake kinachoitwa quantam magnetic analyser, eti ukikishika anawasha kompyuta kusoma magonjwa yote mwilini!! Hahaha
 
Hivi hapa ni hospital au ni scene ya bongo muvi au ni washkaji wanapiga story?
 
Basi sawa
 

Yawezekana mama yake ndiye anamjaza hizo chuki.
 
Mkuu huyo ni Mganga wa tiba asili. Hiyo stethoscope aliyovaa ni mbwembwe tu.

Hicho kipimo chake cha QMA anasema kinasoma magonjwa yote mwilini......hahhaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
HUYU MZEE MUONGO SANA NA CHAPOMBE HAPA KWAKE KAGERA MARA KIBAO DIAMOND HUWA ANAMTEMBELEA
 
Kwahiyo aliita waandishi wa habari wakati anaenda zahanati....? Muache avune alichopanda, diamond hasingekua star leo hii huyo mzee angemkubali ?

Muache asote tu
Huyo mzee asingemtelekeza daimond, huyo daimond asingekuwa staa.

Kwa maana angemsomesha madrasa saa hii angekuwa sheikh mkubwa tu.

Au angemsomesha akafeli form four, akarudia rudia akishtuka ana 35 rain,

Au angemsomesha akawa afisa ugani nani angemjua!!!

KUNA KILE KIONEKANACHO KAMA LAANA KUMBE NI BARAKA, UNAHITAJI MACHO YA KUKIONA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…