jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Ungeficha upumbavu wako ungejitendea haki,Usilazimishe mambo yaonekane unavyofikiria wewe,
Queen Darleen amepata malezi ya babaake lakini bado akawa mwanamziki hata kabla ya Diamond kutoka.. Suala la Sanaa kama lipo damuni lipo tu na sio kama huyo babaake angemlea Diamond asingekuwa msanii, cha zaidi angemlea labda angemuongezea vidato tu awe kama wakina FA au Ben pol wamesoma afu wanamuziki..
Hapa wa kupewa shukrani ni mamaake maana licha ya malezi ya kawaida, yeye ndio alikuwa anampa kila support kuendeleza kipaji chake kumpeleka matamasha ya watoto aende kuperform, hadi kuja kuwa meneja wake wakati ameanza mziki kama underground, hadi hivi sasa dogo hanaga matumizi mabaya sana ya pesa kwa mchango pia wa mamaake kama msimamiaji wa miradi ya kimaendeleo yote ukiachana na mziki..
Sijakwambia kuwa kila afukuzwaye na simba huokota almasi!!!!
Bali bahati hubebwa na matukio kwenye muda husika!!
Mamaye daimond hangepata ruhusa kwa mumewe kumpeleka mwanae kwenye matamasha ya watoto kama unavyodai, hivyo pengine angekuwa chokoraa tu kitaani!!!