Maskini CCM "hakuna migogoro"

Comeback ya timu Magufuli inatisha
 
Kuna wajinga na mafala Fulani walisema tunamsema SAMIA kwasababu ni muislamu lkn walisahau kuwa wachawi wapo nae ndani CHAMA...
 
Huko hakupo sawa, tukianzia yule mshika kalamu wa Mheshimiwa ndiko vuguvugu lilipoanzia mpaka sasa moto unawaka.

Ngoja niishie hapa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…