MASKINI: Dr. Slaa amesahaulika kabisa

MASKINI: Dr. Slaa amesahaulika kabisa

kapepa

Senior Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
132
Reaction score
22
nakuu kweli siasa mchezo mchafu ila kwa maana hii ukijaribu kuchafua ndio inakupoteza katika harakati za kutimiza matakwa ya mrengo wa pili na ambao walikua wafadhili wake hatimaye dr. slaa amepotea kwenye siasa za bongo kama mttu aliyezombwa na mafuriko ambavyo ua anacheka hovyo kumbe anaenda kilindini tayari kwa kifo
Naye dr. amesahaulika kama ambazo JOHN OKELLO alivyosahaulika kuwa ndiye champion wa mapinduzi ya zanzibar
***** MASKINI SLAA****
 
Well,

Kusahau haraka ni jadi yetu watanzania!
 
Kondom haitumiwi mara mbili,kondom ikishatumika baaaaas.
 
Ajenge ile Hospitali aliyoahidi mchumba wake, sorry mkewe huenda tutamkumbuka. Kwa sababu itahudumia waTz wote.
 
Hata ficiem wameshamtema. Kwa mtu kama Slaa kukaa idle US Technically yuko kifungoni.
 
Kasahaulika vp? Wakati katolewa kwenye kwenye kula mihogo na sasa anagonga mvinyo Marekani na Gavana?!
 
Back
Top Bottom